Mkuu LazyDog,"Community Award" ni nini?
Mi pia ni mpenzi wa Simba SS, lakini niseme sijaona ubaya wa rangi, rangi hata zikiwa za UMD, TADEA au CCM kwangu sidhani kama zina lolote la kufanya na JF, mwanzoni kabla CHADEMA hawajabadili rangi zao walipelekea tukalazimika kubadili rangi za JF watu wakilalamika kuwa rangi za JF zinaelekeana na za CHADEMA... Tukawa na rangi za nicks za Premium Members watu wakadai zimekaa ki-CCM...kwa ninimsingeweka rangi nyekundu na nyeupe? simaanishi natetea club yangu, lakini hizi ni rangi za kimapinduzi na amani....
Mkuu LazyDog,
Unaweza kuona Stats kwa kutembelea hii link:
https://www.jamiiforums.com/xperience.php?go=stats
Leo nimedhamiria kutoa shule kwa kila kitu via this topic:Nimekuwa mvivu kwenye sehemu zifuatazo japo natambua umuhimu wake:
Visitormessages
Socialgroups
Tell us more about "Referrals" and "Per day" tafadhali.
Asante
Admin hawa wanalipwa ? Kama wanalipwa kufanya translation ya kitu kama hii ni moja ya ToR?
Tafuta translator akufanyie hiyo kazi.
Hivi unakuwaje premium member?
Nina hamu kuona majadiliano yenu kuleee sirini (Kwa premium)
😛eep:
Dotori,
Achana na Internet Explorer (kama ndo unatumia), download Mozilla FireFox na ndo itumie kama browser yako.
Mkono mtupu haulambwi. Changia JF uwe Premium member, faida zake ni nyingi kuliko hasara.
Ahsante.
Wakuu naomba kama kuna anaweza kunipa tofauti kati ya JF Premium Member na JF Senior Expert Member. Mimi ni JF Senior Expert Member. Nina mwaka hapa JF. Posts: 333, Thanks: 58, Thanked 67 Times in 44 Posts, na Rep Power: 21.
Ila nimeona kuna wadau wengine wana zaidi ya miaka mitatu hapa, posts zaidi ya 6,060, Thanks zaidi ya 1,000, Thanked 1,400 Times in 851 Posts wana Rep Power zaidi ya 35 na ni JF Premium Member au JF Senior Expert Member.