JF: Rankings, Reputations na Maswali Mengineyo..

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,076
7,857
Take some time to read this pls:

--------------------------
How do I give reputation?


There is an icon in the left bottom area of each post. Click the icon, and a window will pop up allowing you to give reputation (positive or negative) to a user.

Do I have to participate in the reputation system?


The reputation system is completely optional. But, by participating in discussion in our forums you are eligible to receive positive and negative reputation points from other users.

How much reputation can I give out? Are there any limits?

There are quite a few limits in place to prevent minor abuse of the reputation system. Obviously there cannot be a flawless system, but these limits try to curb any intentional abuse. You must have 50 posts and 10 reputation points in order for your reputation to count on other people. Until you meet those requirements, your reputation will show up as grey dots (see below). Everybody is limited to giving out 5 reputations per day; you cannot give the same person reputation until you have given reputation to 40 other people. This prevents friends from giving 10 reputations to the same person every day. Use them wisely!

How do I see what reputation people have given me and what my current score is?


If you go into your User CP (linked at the top of every page) you can see a your total reputation points and a list of the past 25 reputation points you have received.

Where can I see my reputation for a particular post?


If you click the reputation icon on your OWN post, a window will pop up with your current score for that individual post. It shows your comments and if you have a positive or negative rep for this post.

Someone gave me bad/good reputation, and I want it removed; what can I do?


At this time you can not get it removed. Just concentrate on getting better reputation points on your future posts if possible.

What do the green, red, and grey dots mean?


A green dot indicates that you were given positive reputation. A red dot indicates that you were given negative reputation. A grey dot indicates that the user gave you reputation, but it counted neither positive or negative.

How many reputation points do the dots represent?


You get awarded 1 reputation bar for every 100 points. Here is the formula used in the code: = intval( / 100);

Why would reputation not count positive or negative?

When a new user first starts out, their reputation does not count. When the user starts earning rep points, they can give out rep points, but the neutral ones they gave out at first will not change. They will still have zero value.

How can my rep points count more than other users? Give me more power!

Not all users rep points are equal. These are the factors that determine how many reputation points a user can give with each click:

1. For each year of membership (since join date) the users gain 1 point of reputation-altering power.

2. For every 1000 posts, users gain 1 point of reputation-altering power.

3. For every 1000 points of reputation, users gain 1 point of reputation-altering power. This all means that the members who have been here the longest, have the most points, or the best rep will have the most reputation-altering power!

How can I tell how much rep power somebody has?


Under their username when the post will be a number next to the words: Rep Power.

What are good and bad things to give positive reputation for?


Reputation should be given to people who post meaningful, helpful, and thoughtful posts. Any post that contributes to the thread in a positive way probably deserves positive reputation. This does not mean that you agree with what was said; the point brought up may be completely opposite to what you believe, but it may be a good point nonetheless, and worthy of a pat on the back. Giving positive reputation to someone because they are your friend and deserve to have a few more green dots next to their name probably isn't a good reason to give positive reputation.

What are good and bad things to give negative reputation for?

Negative reputation should be given if the person is posting something that detracts from the conversation. If the post is rude, inappropriate, breaks forum rules, is not gracious, etc; these are all good reasons to give negative reputation. If you have a personal grudge with someone, their team, etc, is it not appropriate to give them negative reputation for no reason. Giving negative reputation because you don't agree with what was said is not an appropriate use of the reputation system. People are entitled to their own opinions, and just because you don't agree doesn't mean the user was wrong or not contributing to the conversation.
 
Naomba mniwie radhi kuuliza si ujinga. Hivi Rep Power katika forum hii maana yake ni nini? Na zinapatikanaje?
Je, nini matumizi ya credit points zinazopatikana kutokana na contributions za wana JF?
Naomba kuwasilisha
 

There is an icon in the left bottom area of each post. Click the icon, and a window will pop up allowing you to give reputation (positive or negative) to a user.

Invisible nashukuru kwa majibu yako na yamenisaidia kupata ufahamu zaidi kuhusu Rep Power. Ila nimejaribu kuangaza sijaona hiyo icon inayoongelewa kwenye quote. Ipo kwenye "post icons" au "additional options"?
 
IIla nimejaribu kuangaza sijaona hiyo icon inayoongelewa kwenye quote. Ipo kwenye "post icons" au "additional options"?

Dotori,

Naheshimu kila swali la mwanachama japo sometimes nashindwa kujibu maswali yote. Jambo hili hunisikitisha sana na huwa najiona kama nimewakosea wengi kwa kutomjibu mmoja. Believe me; swali lako linawezekana kuwa limewasaidia wengi ambao hawakujua maana ya Reputation Power.

Sasa icon iko juu na inaonekana hivi:
reputation.gif
 
Dotori,

Achana na Internet Explorer (kama ndo unatumia), download Mozilla FireFox na ndo itumie kama browser yako.
 
Dotori,

Naheshimu kila swali la mwanachama japo sometimes nashindwa kujibu maswali yote. Jambo hili hunisikitisha sana na huwa najiona kama nimewakosea wengi kwa kutomjibu mmoja. Believe me; swali lako linawezekana kuwa limewasaidia wengi ambao hawakujua maana ya Reputation Power.

Sasa icon iko juu na inaonekana hivi:
reputation.gif

Nimeiona. Nashukuru kwa uwepesi wako katika kujibu maombi yangu. Ufafanuzi wako umenisaidia kuelewa technicalities za hii forum. Cheers!!!
 
@Invisible
Tunashukuru, naona malelezo yametusaidia wengi kujua hizi rep points zinavyokwenda, ingawa naona wengi sana tumelala katika rep power ya 21!.
big up sana.
 
shukurani bro kwa shule sasa tumeelewa

mbona ww invi umejipa rep power kubwa umetuznguka kama tumesimama?
 
shukurani bro kwa shule sasa tumeelewa

mbona ww invi umejipa rep power kubwa umetuznguka kama tumesimama?


Thanks Invisible hata mi nimeelewa sasa kumbe hiyo ni reputation power na sio representative power...nilikuwa nikisubiri kuitwa barazani kwen mkutano wa JF LOL
 
i hadn't know it either. Thanks invisible.

mtu wa pwani invisible realy deserver much higher rep than all of us. Au unaonaje?
 
shukurani bro kwa shule sasa tumeelewa

mbona ww invi umejipa rep power kubwa umetuznguka kama tumesimama?


Ni wajibu wangu kuhakikisha hakuna kitu kinawapa maswali wanaotumia tovuti hii. Aidha mimi kuwa na Reputation kubwa huwa sijui nani wananipa ila nafurahi kama napewa kwa haki.

Kuna watu walikuwa wananiuliza namna ya kupata Mozilla Firefox kama browser yao badala ya Internet Explorer ambayo ukweli ni kuwa ina matatizo mara nyingi. Bofya hapa:

Download Firefox - Free
for Windows, English (US)

 
Nimejaribu kupitia FAQs section kuona kama kuna maelezo kuhusu jinsi ya ranking ya JF members inavyofanyika, sikupata maelezo haya.

Moderators au wadau wenye uelewa ninaomba maelezo yafuatayo:

- Ni vigezo gani vinatumika katika ku-promote mdau kutoka Junior member kwenda member hadi kufikia JF Senior Expert Member?
-Je, vigezo hivi vinategemea nini? Je ni idadi ya contributions, number of thanks, no. of credits au no. of threads started?
-Kama inategemea moja ya vigezo nilivyotaja hapo awali, Je, ni idadi gani ya point inabidi mwanachama afikishe ili kupanda daraja.
Naomba kuwasilisha.
 
Ni vigezo gani vinatumika katika ku-promote mdau kutoka Junior member kwenda member hadi kufikia JF Senior Expert Member?
0-49 Posts - Junior Member

50-249 Posts - Senior Member

250 - Expert member

-Je, vigezo hivi vinategemea nini? Je ni idadi ya contributions, number of thanks, no. of credits au no. of threads started?
Number of posts by the user. Soon kutakuwa na ranking ya JF Premium member (wale ambao watakuwa wawezeshaji wa JF financially.

Nadhani swali la mwisho limejibiwa katika majibu madogo niliyotoa hapo juu.

See Mwendapole . He/She is a JF Premium Member. Ni mfano tu
 
Sasa mbona Invisible hukunijibu hili swali kwenye ile thread yangu ya KKS- JF Senior Expert? Nahisi hata Dotori ndipo alipolichotea huko.
 
0-49 Posts - Junior Member

50-249 Posts - Senior Member

250 - Expert member

Number of posts by the user. Soon kutakuwa na ranking ya JF Premium member (wale ambao watakuwa wawezeshaji wa JF financially.

Nadhani swali la mwisho limejibiwa katika majibu madogo niliyotoa hapo juu.

See Mwendapole . He/She is a JF Premium Member. Ni mfano tu

Invisible,

Hata nikiwa na posts 10 tu je nikitoa mchango wa pesa naweza kuwa JF Premium Member?
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom