Wewe umechangia ngapi????
Unaniuliza ukiwa kama nani, ili iweje?
Wewe umechangia ngapi????
kwa hiyo ukichangia kunakuwa premium member?....minimum ni kiasi gani?
Kiasi chochote unachoweza wewe!
Maswali kama haya yananifanyaga niamini kunawatu wamejiunga na jf na kuanza kupost tu.
Hizo sticky post zinamaana kubwa kuwepo hapo hebu tuzipitieni jamani, Haileti picha nzuri kwa memba wa mwaka mmoja hajui tofauti ya rank za membaz
Changia mwaya JeiEff izidi kupamba moto!Mmmmh kwa faida nazopata hapa JF itabidi tu nichangie si ili nibadili jina! Actually mi napenda sana JF SENIOR EXPERT MEMBER,ntachangia ila waniache na hilo hilo.................lol
CHANGIA JF: Mkono mtupu haulambwi
https://www.jamiiforums.com/payments.php
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/49294-michango-jf-2010-updates.html
Baba watoto bado tu hujachangia bana nn usiniagushee:car:
Pia baadhi ya post hazionekani kwa baadhi ya members ni kwanini? au huku kuna ufisadi pia? Nafikiri kuelimishana ni muhimu pia kuwa memba wa miaka au mwaka haimaanishi hauwezi kuelimishwa......nyie ndio wale mkishapata elimu mnawashangaa na kuwadharau wenzenu wasiosoma ni kwanini hawajasoma kama nyie.......
Mkono mtupu haulambwi. Changia JF uwe Premium member, faida zake ni nyingi kuliko hasara.
Ahsante.
Dotori,
Naheshimu kila swali la mwanachama japo sometimes nashindwa kujibu maswali yote. Jambo hili hunisikitisha sana na huwa najiona kama nimewakosea wengi kwa kutomjibu mmoja. Believe me; swali lako linawezekana kuwa limewasaidia wengi ambao hawakujua maana ya Reputation Power.
Sasa icon iko juu na inaonekana hivi:![]()
nimeomba nisitajwe mamaa
Maswali kama haya yananifanyaga niamini kunawatu wamejiunga na jf na kuanza kupost tu.
Hizo sticky post zinamaana kubwa kuwepo hapo hebu tuzipitieni jamani, Haileti picha nzuri kwa memba wa mwaka mmoja hajui tofauti ya rank za membaz