JF: Rankings, Reputations na Maswali Mengineyo..

mourisous

JF-Expert Member
Jan 19, 2016
441
500
K-K-N,
Sikuipendekeza rangi nyeusi kati ya zile rangi nyinginezo kwa sababu ni default color ya maandishi hapa JF. Naomba unielewe kuwa sidharau rangi nyeusi hata chembe lakini pia sidharau rangi nyingine pia maana zote ni rangi ila nyingine zina strike-out more easily kimaandishi. Hizo rangi nyingine pia kama tungekuwa tumezizoea hapa na zingekuwa default colors, usishangae ningejikuta natamka rangi nyeusi kama pendekezo langu. Sasa hapa sijui ungeniambia pia naonyesha ubaguzi wa rangi au...?! I don't know!

Kiasili za kibinadamu, ninaheshimu rangi nyeusi kwa hali na moyo wangu wote, ingelikuwa credit card, basi ningeheshimu kama 'american express black card'. Kama nilivyosema rangi nyeusi kwenye mtandao ni default kama tu ilivyo kwenye vitabu vingi vya dini, cha kutatanisha ni kuwa rangi hiyo hiyo inatumika kwenye maandishi mengi pia ya kuendeleza maovu! Natumaini nimeeleweka.
Ahsante.

SteveD.

Unadhani utakuwa ulipitiwa tuu mkuu n' kama ulivyoeleza hukuwa Na adhma ya kuidharaulisha rangi bt uliiandika katika kundi la watu wasiotoa ndo maana [IMAGE 26] Steve Dii aliyasema hayoBy the way umeelewa vizuri mkuu
 

nexus

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
355
250
Moderators itakuwa vizuri kama mtaweka utaratibu unaoweza kutumika katika kuchangia fedha hii forum kwa wale wadau walio ndani na nje ya TZ ili tuwe na Premium members wengi.
kwanini JF wasiuze hisa na wale wenye hisa ndio watambuliwe kama premium members
 

luvara

Senior Member
Apr 9, 2011
169
195
Dotori, ni wazo zuri sana na lilikuwa kichwani mwangu pia.... umeniwahi kutype tu mkuu.. lol.

Kwa kuongezea tu, hizo medani ziendane na hiyo contribution per month, kwa hivi sasa ni $30 recurring, kitu ambacho wengine hatuna na hatutaweza kumudu, mara moja sawa. Ukitaka ku cancel hiyo subscription itakubidi uingie tena kwenye settings za malipo na mihangaiko mingine na usipoangalia utaishia kupata charges za benki tuu kutokana na account kuwa tupu!!

Mimi nashauri kuwepo na $2, $5, $10, $15 na hiyo $30 kwa wenye kuweza kumudu hizo kwa mwezi. Basi hii michango iendane basi na yale Dotori unayasema; ya tin, copper, silver, gold na platinum.

Nyongeza ni kuwa, rangi za majina labda nazo ziendane basi na contribution. Wale wasiotoa- Nyeusi, wale wa $2- Kijani, $3- Navy blue, $5 - Blue, $10 -Purple, $15 - Brown na $30 - Red.

Ni haya tu kwa sasa, ahsanteni.


SteveD.
$2 ndio iwe red na kijani $30 zingine zifuate..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom