Jf please help to wish my daughter happy birthday

Jf please help to wish my daughter happy birthday

Hongera sana jina zuri..
kuna majina ukimpa mtoto hata kurogwa inakua shida ukizingatia waganga wetu wwnyewe hawajasoma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124]
Asante Mkuu!!

....... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hatari sana!! Mtoto anaitwa Mgeninani, mwanamkole, chausiku, mbonamengi,etc.. wazee wa tunguli lazima waanze naye!!
 
Asante Mkuu!!

....... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hatari sana!! Mtoto anaitwa Mgeninani, mwanamkole, chausiku, mbonamengi,etc.. wazee wa tunguli lazima waanze naye!!
We acha tu.
 
70dd7f9785d8fd02d289810ea789170a.jpg
1ea65c7c15cd92f789e19cbe94bd71d3.jpg
6dc704ddae1efddd86b4ac5310b0dc91.jpg

Jina lake MIRABELLE JOHNSON MGAYA
halafu tukimuwish happy birthday atafaidika nini? kwa taarifa yako unaweka mapicha ya mtoto wako kwenye mtandao hivi kuna wengine hiyo picha washadownload wameenda kuifanyia mambo yao ikiwa ni pamoja na kumchukua nyota zake. una mexpose mtoto wako kwenye danger kwa kuiga uzungu. acheni ushamba nyie wabena.
 
MIRRABELLE maana yake nn mkuu?? Nimependa sana hili jina. Mungu ambariki mtoto wako ampe mafanikio na baraka.

HAPPY BIRTHDAY TO HER
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom