Jf please help to wish my daughter happy birthday

nimesoma sana, ila amini usiamini ushirikina upo tena watoto wadogo ndio victim wakubwa. ukiamini hakuna ushirikina basi usiamini kama kuna shetani na vilevile labda uwe atheist. uibaji nyota upo, unafanyika kila siku, na watoto wadogo ndio wengi huwa na nyota bado mbichi, hivyo ku expose mtoto wako kwenye jf ni hatari sana, na kama haamini basi subiri mwaka mmoja atakuja hapa kutuambia. labda awe mtu wa Mungu sana, ila kama wa kawaida, ameshamharibia mwanae. kila mwanadamu anazaliwa na nyota katika ulimwengu wa roho, na nyota hiyo huwa inaibika na kurudishwa pia inaweza kurudishwa ila kwa mbinde. maana ya nyota ni talent/talanta ambayo umezaliwa nayo, kuna wengine wana talent fulani, wengine hii, wengine ile kadiri ulivyojaliwa. wengine ya uongozi wamezaliwa nayo, na viongozi wengi huenda kwa waganga kununua nyota za uongozi ndio maana utakuta mtu anakubalika sana na hata mkimpinga vipi anaendelea tu kukubalika. hamjui na mtakuja kujua pale watoto wenu watakapokuwa makopo tu shule wanafeli, maisha wanafeli, wavuta bangi, malaya etc ndio mtajua kuwa wameibiwa kile walichokuwa wameumbiwa.
Mkuu nisamehe mimi bana chonde chonde tushiriki katika maombi hao watu wasifanikiwe
 
hapo sasa unaongea. next time avoid kuweka picha yako au ya mwingine public. tulishakuwa sana kwenye hizo nguvu za giza zamani, lakini tuliacha. ninaelewa ninachokiongea. picha ni alama tosha sana kupata contact ya mwanadamu. wengine ni mate (ndio maana ukienda kwa wasukuma avoid kula nyama kwa mdomo, mifupa ile huwa wanaiokota mate yako uliyoacha ni contact, mung'unyua tu kwa vidole nyama weka mdomoni), sauti pia ni contact mojawapo na vingine vingi. ila picha ndo sana. mimi nikitaka kukudhuru wewe nikikosa unyayo wako, nitatafuta picha, nitatafuta, nguo yako, nitatafuta contact zako ambazo sitazitaja hapa. ila kwa kawadia watoto ndio huwa victim sana kwenye wizi wa nyota ndio maana nilikuwa nakuonya hilo.....kuokoa mwanao hapo muombee mfunike kwa Damu ya Yesu huwa wanashindwa kuiba vitu vyake, ila uishi ukijua hayo mambo yapo na si kila mwanadamu anayekuona una mtoto anapenda uwe na mtoto pengine yeye hana au pengine yeye ni ajenti wa shetani. humu jf kuna maajenti ya kuzimu wengi sana na wengine wana majina kabisa, ndio maana usijione upo salama unapoingia kwenye mitandao, kuna hadi majini humu, na wengine wachawi na waabudu shetani kabisa. siku zote wanafundisha before you post anything especially your picture or passwords, uwe makini kwasababu it is not a safe venue.
 
Asante sana
Kwa usalama wa binti yangu naomba radhi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom