johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,725
Jina lake MIRABELLE JOHNSON MGAYA
hayo mapazia ya wiii nimeyapenda sijui ni lace material nyeupe kashona.nimependa huo ubunifuHappy birthday my daughter i love u so much.. Mungu akupe maisha marefu yenye baraka na pesa nyingi .. amina
WAOOOOWWWhh asante mama mtu jiandae na kaparty ka kimya kimyaHappy birthday my daughter i love u so much.. Mungu akupe maisha marefu yenye baraka na pesa nyingi .. amina
Ila hii ni site picha mkuu kuna ubaya?Mkuu nakushauri ungeenda fb hata hivyo hpd daughter
Asante aunt ake mtafute miss chagga akulete kwenye party jionihappy birthday totooo
mzee mwenzangu utakua na Pumzi kwelHappy birthday mrembo.
Naomba unitunzie mchumba angu
hapana haya ni ya mtumba bwana ila ninayo pea zingne zimebaki cjui nikupe?hayo mapazia ya wiii nimeyapenda sijui ni lace material nyeupe kashona.nimependa huo ubunifu
Happybirthday long live
-Ng'ombe hazeeki maini mzee mwenzangu.mzee mwenzangu utakua na Pumzi kwel
Haha ha ha ha kwel mzee mwenzangu uko vizur ushapiga kabisa hesabu zako-Ng'ombe hazeeki maini mzee mwenzangu.
-Ubwabwa moto, mchuzi moto, bado ninatesa watoto.
-Nikimsubiri akitimiza miaka 25 mimi nitakuwa kama na miaka 70 tu bado kijana
Inabidi kaka atuambie wifi aliyapata wapihayo mapazia ya wiii nimeyapenda sijui ni lace material nyeupe kashona.nimependa huo ubunifu