Aisee huyu jamaa hadi ananishangaza kinoma,Kumchukua nyota zake!!!
Huu sasa ushirikina!!
Dunia ya leo bado unaimani hizi!!?
Shule zipo tena elimu bure mbona hamsomi jamani!!?
Kha!!!
Hongera
nimesoma sana, ila amini usiamini ushirikina upo tena watoto wadogo ndio victim wakubwa. ukiamini hakuna ushirikina basi usiamini kama kuna shetani na vilevile labda uwe atheist. uibaji nyota upo, unafanyika kila siku, na watoto wadogo ndio wengi huwa na nyota bado mbichi, hivyo ku expose mtoto wako kwenye jf ni hatari sana, na kama haamini basi subiri mwaka mmoja atakuja hapa kutuambia. labda awe mtu wa Mungu sana, ila kama wa kawaida, ameshamharibia mwanae. kila mwanadamu anazaliwa na nyota katika ulimwengu wa roho, na nyota hiyo huwa inaibika na kurudishwa pia inaweza kurudishwa ila kwa mbinde. maana ya nyota ni talent/talanta ambayo umezaliwa nayo, kuna wengine wana talent fulani, wengine hii, wengine ile kadiri ulivyojaliwa. wengine ya uongozi wamezaliwa nayo, na viongozi wengi huenda kwa waganga kununua nyota za uongozi ndio maana utakuta mtu anakubalika sana na hata mkimpinga vipi anaendelea tu kukubalika. hamjui na mtakuja kujua pale watoto wenu watakapokuwa makopo tu shule wanafeli, maisha wanafeli, wavuta bangi, malaya etc ndio mtajua kuwa wameibiwa kile walichokuwa wameumbiwa.Kumchukua nyota zake!!!
Huu sasa ushirikina!!
Dunia ya leo bado unaimani hizi!!?
Shule zipo tena elimu bure mbona hamsomi jamani!!?
Kha!!!
Na huo mlango ufanyie mpango,pia hapo chini rekebisha lohDuhhhh. Haya mkuu nimekusoma ngoja dangote aanze tena kazi
Siku nyingine jitahidi apate sponge cake, hayo makeki ya ugali sio poa hata.Achana na manyota nyota hayo , just go straight to the b'day wishes ........mimi na mwanangu tulimaliza kinyumbani nyumbani![]()
AsanteSiku nyingine jitahidi apate sponge cake, hayo makeki ya ugali sio poa hata.
Hahhaha cjaibiwa kumbeAisee hapo hakuna haja ya DNA test... Hiyo ni copy kabisa
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Mlango wa jirani huo banaNa huo mlango ufanyie mpango,pia hapo chini rekebisha loh
Aisee kuna watu wanajua kukatisha wenzao tamaa!!Siku nyingine jitahidi apate sponge cake, hayo makeki ya ugali sio poa hata.
Si vizuri kumshika mtoto na biaTeh teh teh![]()
karibu kama unaiweza
Zzingine zinaumiza aiseee hasa huyo jamaa wa nyota[emoji121] [emoji121] [emoji23] [emoji23] acha nizichuje kwanzaHappy birthday kwa mtoto ila cha msingi ili kumtendea haki bint yetu msomee comments zote za baba na mashangazi zake.
Si unajua uzuri/ubaya unaongeza mtu akikua? nisijiingize mkenge nikapata pesa ndogo acha afike 25 kwanza[emoji23] [emoji85] [emoji85]Mahari yake ni kiasi gani mkuu nitoe Advance kabsa?
Haujaibiwa mkuu, hiyo ni coppy kuanzia macho, kimo, Pua hadi komoHahhaha cjaibiwa kumbe