Hela ipo?happy birthday to cute daughter..... nmewaza tu mama yake yukoje
Anatafuta kesi tu nyumbani huyo mzeemzee mwenzangu utakua na Pumzi kwel
Hahahhaha [emoji121] [emoji121]-Ng'ombe hazeeki maini mzee mwenzangu.
-Ubwabwa moto, mchuzi moto, bado ninatesa watoto.
-Nikimsubiri akitimiza miaka 25 mimi nitakuwa kama na miaka 70 tu bado kijana[emoji1][emoji1]
Alafu inakusaidia nn?
Hiyo hela ya bando ungemnunulia hata chocolate ,
Ila happy day yake!
AsanteHappy birthday totoo,mungu akuongoze katika njia imfurahishayo yeye bwana!!
Katoto kazuri[emoji4][emoji4]
ThanksSo cute.
Happy birthday mrembo.
Cc:miss chaggahappy birthday to cute daughter..... nmewaza tu mama yake yukoje
Magunia hayoInabidi kaka atuambie wifi aliyapata wapi
HayaMagunia hayo
Naomba uweke bia kule nyuma na meza na vitiWAOOOOWWWhh asante mama mtu jiandae na kaparty ka kimya kimya
Miss Natafuta kuna kabia ujeAsante aunt ake mtafute miss chagga akulete kwenye party jioni
Mahari mnayo?Happy birthday to her
Mwanangu Brighton atakuja kuoa hapo
Hahahaha mkuu unaanza kuchukua mahari kbs?!Mahari mnayo?