kifaa cha umeme ama cha ujenzi??!!
Yaani tangu jana nimeuliza mara tatu hiyo Escape 1 Pub iko wapi ili nitume mchango lakini mpaka sasa hakuna aliyenielekeza, sasa sijui hiyo party ni kwa ajili ya wateule fulani tu au ni wanaJF wote? Anyway nawatakia kila la heri remember to play safe in all angles bado tunawahitaji kujenga taifa letu.
Utakomajeee???
Mmmmhh!!!
Best aka sukari ya warembonaona unagombaniwa kabla hata muda haujafika....haya kila la heri mi nakumis tu wala hakuna la zaidi
Kwani ndiye dayamondo???
Kwani ndiye dayamondo???
jamani mbona kuna ramani ya daireksheni pale amahujaona!!!!!!!!!hii ni kwa ajili ya watu
woooooooote na wala si kwa ajili ya kina fulani
Cha ujenzi wa penzi lake
jamani mbona kuna ramani ya daireksheni pale amahujaona!!!!!!!!!hii ni kwa ajili ya watu
woooooooote na wala si kwa ajili ya kina fulani
Kwani ndiye dayamondo???
dah.kama utakuwepo itakuwa poa sana, na ulivyo bomba! utawafunika wote...! hamna cha........wala.........!lol
Hivi kweli umemjibu....!jamani mbona kuna ramani ya daireksheni pale amahujaona!!!!!!!!!hii ni kwa ajili ya watu
woooooooote na wala si kwa ajili ya kina fulani
Halafu wewe!heheh
Kweli unalo Patna!