JF party kesho, mambo iko kule. Usingoje kuhathiisiwa

JF party kesho, mambo iko kule. Usingoje kuhathiisiwa

Dah sasa kila mdada wa jf anayekwenda anataka kuona six packs za Watu8 cjui itakuwaje kwa sisi wenye vitambi hatare!:A S 39:

mkuu kwani kutakuwa na mashindano ya kuonesha six packs kwa wanaume?
 
wang'oaji kucha wasije bana, hii ni party ya wastarabu zaidi.
 
SASA NDO NAKWAMBIJE KUTOA HIO 30K ISIWE ISHU UTUHARIBIE PARTY! Tunweza kukurudishia VILE VILE! Kulipa isiwe ndo nongwa! PICHA HAZIRUHUSIWI!!!!!!!! HUTAKI SEPAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!

Hii ni hserehe ya waungwana na uungwana ni vitendo! PICHA HAKUNA! !!!!!!!!!!! Baaaaaaaaaaaaaass!
Make sure hamrushusu watu kuingia na cell phones, otherwise watapiga picha na kurecord video clips. Just ushauri tu, Lara1
 
hheheh chezeya 6 packs wewee,lazma uwe gumzo kwa mabinti..
 
Make sure hamrushusu watu kuingia na cell phones, otherwise watapiga picha na kurecord video clips. Just ushauri tu, Lara1

na utu uzima huu hilo linawezekana unaona?ht km picha zikipigwa,sio mbaya cz hujui username yake,ingeleta maana kama ungemjua ni nani huko na pia jf
 
lara1 itabidi unisafishie jina langu nishatuma mchango japo kwa kuchelewa

mbele ya HADHIRA itabidi unipambe hapa kunipunguzia machungu maana leo umesababisha pm kujae midume
tangu imejua sijalipa inajipendekezaje ohooooo miss nikulipie ohoooo sijui tutakuwa benet ohooooo sijui hiv
khaaaaaaaaa ukiwaambia basi lipa utume jina la kadi et wanadai nijiandae tu kila kitu kitakuwa tayari mchana
nikaona wasije wakaniingiza kingi nikose uhondo bureeeeeee
 
Jamani rafiki zangu wapendwa.....nawatakia party njema iliyojaa amani na utulivu.
Mungu awatangulize.
Mtambuzi na lara 1...... big up's.

lara 1....kuwa makini ili mambo kama ya mwaka jana yasitokee....baadhi walikuja na camera kwa nia njema tu, lakini wengine walikuja nazo...wakapiga Picha then wakawa wanatumiana kinyemela.....'huyu flani....au huyu flani'.
Haikupendeza maana sie wengine ni "Most Wanted" mpaka uvunguni.
Ila yote kwa yote.....""""PARTY NJEMAAAAAAAA""""
Enjoyini babu weeeeeeee........maana maisha yenyewe mafupi kama umri wa funza.
Jiparty njema.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom