Namasteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mambo ymekwivaaaaaaaaaaaa! Kesho ndo kesho! Asemae kesho kuwa ni MUONGO!!!!!!!!!!!!!!! Saa 11:00 Juu ya Alama kitu kinaanza!
Watu wenye P.O.BOX zetu MMU (Nilipokopa hi 30k, acheni tu! Ila heri DENI kuliko FEDHEHA! Just imagine makelele yote humu MMU Kubwa la maaui nionekane BROKE A.ss si mambo ya aibu na fedheha kuu! Kujikosha kosha nasafiri, niko busy, kumbe 30k sina????? Ningeificha wapi sura yangu? Ulienikopesha UMENISITIRIJE!!!!!!! Mwaaaaaaah!) , Watu na maconfidence yetu, tuko standby!
Watu 8, Sukari ya warembo kesho patachimbikaje? Six Pack zitazua kizaa zaa!!!!!!!! Sitaki kuhadisiwa mie! Mwaka jana ilioa jicho kama mjusi kabanwa na mlango kuchungulia six pack! Na busara zako huku jamvini patakuwaje hapatoshi! Kama nakuona Jpili ukiamka PM zimejaa aje! Mmmmmmmmmmh! Mie nitakula kwa macho tu!
Maandalizi binafsi nmeona nije simple simple tu, sitaki makuu na kujionesha mtoto wa watu! (Kumbe uwezo unagomba! Sina hata kumi ya gauni hapa nilipo! LOLEST! Sizitaki mbichi hizi!)
Haters wangu wote wa JF kiwemo
miss neddy kumbe mpo BROKE kiasi hicho! Im so disappointed about you! Kuniitaga maskini kubwa! Mshamba! Mashauzi ya bure! Kumbe nyie ndo uwiiiiiii!!!!!!!! Loooooh! 30K inawashinda? NO WONDER YOU ARE SO BITTER!!!!!!!!
Ndo tuna finalise maandalizi hapa! Mkae mkao wa kuparty na watoto wa mujini!!!!!!!!!! KESHO NDO KESHO! Wanaume wa JF I feel really disapoined, mikwara mingiii ku text namlipia Lara 1, asimlipie mtu, nitamwaga damu (Unajijua ulie text hii) kumbe mneno matupu hayavunji mfupa! Loooooooh! Vichuna wote hawa, sijaona hata mkijitoa kivile kulipa watu! Jmavi hili LATAKA MOYO! Loooooh!
Wale miloomba Pooh! mambo hayajakaa fresh mfikiriwe kidogo mda, haya malizieni kutuma
0715729292 TIGO PESA NA MPESA NI
0752729292 KAUCHAKAVU NI KALE KALE 30,000/ 30K TSH. Ukieka na ya kutolea ni uungwana zaidi!
RATIBA
JF PARTY
ESCAPE 1 PUB
25.01.2014
17:00 17:30 Kuwasili ukumbini
17:30 18:15 Kukaribisha wageni, vinywaji
18:15 18:30 Ufunguzi rasmi na kufungua champagne na cheers
18:30 19:00 Utambulisho wa mgeni rasmi
19:00 19:20 Mageni rasmi kusema chochote
19:20 20:30 Chakula na vinywaji
20:30 21:30 Chit Chat
21:30 21:45 Maneno kutoka kwa waandaaji
21:45 06: 00 Dancing, Drinking, Chitchatting, etc