JF party kesho, mambo iko kule. Usingoje kuhathiisiwa

Jamani tuelezane basi kuhusu venue, wengine ni watu ofisi kwa sana (saa 12 asubuhi hadi saa 2 usiku)na sio watembezi.
 
Aaayaaaa !!! wengine tulikuwa tunahangaika kubishana majukwaa ya Siasa kumbe tunapitwa huku. .. 🙁
 
lara 1.... Kama vipi tuvae mask, wengine sura zetu na avatar zetu haviendani jamani khaaaaaa!!!!!!! Unakuta mtu amepania sana kumfahamu CL kuja kuona sura lol anaweza akaghairi kimoyomoyo.......
 
Last edited by a moderator:
@lara 1.... Kama vipi tuvae mask, wengine sura zetu na avatar zetu haviendani jamani khaaaaaa!!!!!!! Unakuta mtu amepania sana kumfahamu CL kuja kuona sura lol anaweza akaghairi kimoyomoyo.......

ilikuwa nije nikuone
basi naghairi...
 

Mi nitalipa soon, lakini blah blah za mgeni rasmi sijui nini sitakuwepo.Nakuja 21:45 bata linapoanza.
 
Ratiba imekaa vizuri kuanzia 21:45.
 
safiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kuleni raha ndg zangu...mi nasikitika nimeshindwa kuwepo....
 
Mwisho leo! Asubuhi wanalipia MENU, na DRINKS! Ukichangia getini unafikiri atafanyaje hususani issue ye MENU!

nikija nimekula kabisa mdudu wng, kisha nikaja kujichanganya tu? maana katika ratiba nimependa ile ya mwisho kabisa maana nimeona na etc, baada ya kucheza good music for the good people, kinachofuata ni.... kujuana zaidi. ila je na wale wa miko ya kanda ya kati je? maana daraja limeharibika utawapangia tena?
 

hahaa umenichekeshaje LOLz
 
@lara 1.... Kama vipi tuvae mask, wengine sura zetu na avatar zetu haviendani jamani khaaaaaa!!!!!!! Unakuta mtu amepania sana kumfahamu CL kuja kuona sura lol anaweza akaghairi kimoyomoyo.......

hahahaaaaaaaa hapo sasa........mambo ya kuhold high expectation.......wazo la mask likikubaliwa unishtue lolllz

njoo kwa Prime Minister bana kabla sijachomoka tena humu ndani
 
Bibi yenu si member wa JF.

Miaka yote anasubiri nini kujiunga!!!!!!!

babu selfish wewe...we kutwa JF tena wajificha PM bibi ahaa mwambie ajiunge
anaweza kukutana na babu mwingine humu si mbaya tukiwa na babu wawili
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…