tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,893
- 29,422
Ikiwezekana after party ihamie vyumbani
exactly! count me in.
Ikiwezekana after party ihamie vyumbani
Mtatoka mwaka mpya wa fedha ukianza, ahaaaaa yaani baada ya June 30!
sipati picha huo mgegedo wake!
pouwa pouwa kama ni hivyo am waiting for u
Huo moto wake sasa, sipati picha!
Upo poa? Nimekumiss
Tindikali nitammwagia huyo asiyetulia kwenye ndoa yake wewe sina tatizo kabisaaaa na wewe sema nataka nikuone tu
Hivi baadhi yetu tunadhani ni a small matter kuandaa hii makitu?
Mwaka jana watu walishadidia weee ilipofika kwenye michango ikawa majanga watu hawataki tena kuchanga, mlidhani lara 1 na Mtambuzi wangeandaa kwa pesa zao mfukoni? Inastress sana na tujue waandaaji wana majukumu mengine pia na familia zao
Sasa basi nadhani wajitokeze waandaaji wengine wajitolee..naongea haya kutokana na uzoefu kabisa..wengi wetu apa maneno tu utekelezaji ni kimbembe
hilo la serena nalo liangaliwe nnahisi itachangia uchache wa watu
Hivi baadhi yetu tunadhani ni a small matter kuandaa hii makitu?
Mwaka jana watu walishadidia weee ilipofika kwenye michango ikawa majanga watu hawataki tena kuchanga, mlidhani lara 1 na Mtambuzi wangeandaa kwa pesa zao mfukoni? Inastress sana na tujue waandaaji wana majukumu mengine pia na familia zao
Sasa basi nadhani wajitokeze waandaaji wengine wajitolee..naongea haya kutokana na uzoefu kabisa..wengi wetu apa maneno tu utekelezaji ni kimbembe
Miss you more hun.What colour is the coat?una akili sana weweee.bora umekumbushia mkuu.nasubiri kwa hamu sana hiyo "makitu" ya june pale serena.hivi majuzi nimenunua ki-blazer changu cha material ya linen pale mlimani city.kisije liwa na mende bure.nilishapanga mtoko wa kwanza kukitupia ni katika huo mnuso wa jf party-serena hotel. Karucee i miss you.
Miss you more hun.What colour is the coat?
Dah!!! kumbe????
dark blue.....
najishangaa nimefikaje fikaje humuUmefufuka?
Nice. With your complexion, anything goes.