He he hapa hata ile team cash watakubali mkopohalafu hata one night stand ya serena hotel inanoga sana.
tan 70
halafu hata one night stand ya serena hotel inanoga sana.
Room 333 ...#neverFORGET
nauza dawa ya penzi weka oda mapema, pakti ngapi?:
Inatakiwa vigezo na masharti yazingatiwe kukiwa na part,namaanisha watu mje real kama wewe unaishi mbagala tunagombania daladala kila day usiazime gari coz watu wengi humu ndani hatuko real.
nauza dawa ya penzi weka oda mapema, pakti ngapi?:
hahahaha still anafaa kuitwa baby lol
hahahhahaha yaani..wacha nikae kimya
Heaven on Earth naomba usimsikilize huyu mama, mimi ndo mumewe.kuna kitu nataka kumnyima sasa bila kuanza hivyo ni kazi