JF Party-June 2014 at Serena Hotel!

JF Party-June 2014 at Serena Hotel!

Hivi GONGO itakuwepo? Mimi bila Gongo kwenye pati sinaga mzuka kabisa. Waandaji mzingatie hilo.
 
Jamani wazima wanajamvi?

Last time tulijulishwa kuwa ile party ya wana JF sasa itafanyika June 2014 pale Serena Hotel.

sasa mbona kimya na mwezi ndo huu, kulikoni wale waratibu wa hizi mambo?

Kama ipo ni vema tujulishwe na mikakati ianze.

Nakumbushia tu jamani coordinators!

cc: lara 1, Evelyn Salt

una akili sana weweee.bora umekumbushia mkuu.nasubiri kwa hamu sana hiyo "makitu" ya june pale serena.hivi majuzi nimenunua ki-blazer changu cha material ya linen pale mlimani city.kisije liwa na mende bure.nilishapanga mtoko wa kwanza kukitupia ni katika huo mnuso wa jf party-serena hotel. Karucee i miss you.
 
Last edited by a moderator:
Jamani wazima wanajamvi?

Last time tulijulishwa kuwa ile party ya wana JF sasa itafanyika June 2014 pale Serena Hotel.

sasa mbona kimya na mwezi ndo huu, kulikoni wale waratibu wa hizi mambo?

Kama ipo ni vema tujulishwe na mikakati ianze.

Nakumbushia tu jamani coordinators!

cc: lara 1, Evelyn Salt

:A S cry: nimewakosea nini jamani.
 
Back
Top Bottom