JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

Ukuje bi mkubwa watu wa JF wapo charming sana...

Nikiandika idadi ya watu ninaofahamiana hapa personally nadhani utabakia kinywa wazi...

basi watu8 itabidi uwe mwenyeji wangu siku hiyo maaaana mimi huwa nina aibu mnooooo mbele ya hadhira
 
Mmmmh!!!

Uandishi wangu wafanana na nani tena bi mkubwa?

Ukuje fukweni basi upate kunikodolea macho (u won't regret kama huamini muulize lara 1) :becky:

kweli tna yn,myb ni hisia zangu tu,but naona u write similarly to the chats i have na uyo mtu...
No majutoo ufukweni najaa
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh!!!

Uandishi wangu wafanana na nani tena bi mkubwa?

Ukuje fukweni basi upate kunikodolea macho (u won't regret kama huamini muulize lara 1) :becky:

gudmorng nimecheka hapa hapa ha ha ha
 
Last edited by a moderator:

Mum lara 1 count me inn aisee.... Hii si ya kukosa!!!

Angalizo: Nitakuja na Bodyguard maana machalii wa humu ndani hawakawii kunikodolea mijicho....

Hahahahaaaa..... Aione mzee Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Wengine Dar ni wageni,tunaomba tuelekezwe hiyo Escape iko wapi,unapitia na kutokea wapi na kupindia wapi.Tafadhari.

Escape ni kama Unaelekea Kawe, Iko Kushoto kama unatokea Morroco Karibia na kona ya kutokea Mwenge. Iko barabarani kabisaaa!
 
Wengine Dar ni wageni,tunaomba tuelekezwe hiyo Escape iko wapi,unapitia na kutokea wapi na kupindia wapi.Tafadhari.
Ukiwa unatokea mwenge fuata njia ya Coca-Cola hadi ukutane na barabara iendayo kawe pale mlalakuwa chukua uelekeo wa kwenda JKT kabla ya daraja la mlalakua upande wa kulia kuna kibao kimeandikwa Escape 1 ndo humo shughuli itafanyika.
 
Mmmmh!!!

Uandishi wangu wafanana na nani tena bi mkubwa?

Ukuje fukweni basi upate kunikodolea macho (u won't regret kama huamini muulize lara 1) :becky:

Mhhhhhhhhhh! badiebey! Usije tu kujikuta unatoa ofa ya PROMOTION pasipo kukusudia! Mwenyewe nilikodoa mijicho kama mjusi kabanwa na mlango! Hahahaaa! 6 PACKS Wazijua wewe bibie? Mi simooooo!
 
Last edited by a moderator:
hivi kuna dress code??nisije nikavaa kanzu nikawA out of place

Mkuu lara 1 tafadhali tunaomba angalizo katika dressing code, make last year ilikuwa WHITE PARTY dressing code ikawa WHITE. Vipi this year???
 
Last edited by a moderator:
basi watu8 itabidi uwe mwenyeji wangu siku hiyo maaaana mimi huwa nina aibu mnooooo mbele ya hadhira

Ooh!!! yeah be my guest miss neddy

Mmhh hivi sijui kama utazishinda aibu za Jeska...btw hicho kiota kinawafaa sana ninyi wenye aibu lol
 
Last edited by a moderator:
You never know...pengine mimi ndio huyo mysterious guy heheh!!!

Ila usije msahau tu mbebs wako yule point 5...

kweli tna yn,myb ni hisia zangu tu,but naona u write similarly to the chats i have na uyo mtu...
No majutoo ufukweni najaa
 
Natafuta mdada wa kunipa kampany siku hiyo.
 
Mmmmh!!!

Uandishi wangu wafanana na nani tena bi mkubwa?

Ukuje fukweni basi upate kunikodolea macho (u won't regret kama huamini muulize lara 1) :becky:

Duuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhh,

Libarikiwe tumbo lililokufikisha kwa hii dunia......

Natamani nikuone tena tuendelee pale tulipoishia....

Bahati mbaya nasikia Bibi haruhusiwi kujwa kwa party nad mie ndo hivyo tena.....lol!!

Babu DC!!
 
Mkuu lara 1 tafadhali tunaomba angalizo katika dressing code, make last year ilikuwa WHITE PARTY dressing code ikawa WHITE. Vipi this year???
charminglady wewe tupia tu kivazi cha ufukweni itakuwa pouwa tu, si ushaambiwa ni mambo ya ufukweli Kawe Beach, hata ukivaa kama vile unakwenda kwenye ngoma ya msuto wa Mkodobwe itakuwa pouwa tu, miye mwenyewe nitatupia zangu DERA langu la Hudhurungi utanitakaaaaaa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…