JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

Uwepo wao wakuogopesha nini?

Najaribu kufikiria kama ungelikuwa ni mbunge halafu wagoma kwenda Dodoma kwa sababu ya uwepo wa hao mabwana wawili huko...

Sitakuja nahisi mwigulu na zitto watakuwepo
 
Mkuu kila Jukwaa huwa na aina ya habari na taratibu zake...

Uwepo wa majukwaa haya haumaanishi wale washindao siasani huwa hawapiti huku...

Jamani hii kitu wangetagaziwa hata wa jukwaa la siasa,maana watu wana stress sana na uteuzi wa baraza.Ungekuwa ni muda muafaka wa kuondoa mastress.
 
Jamani Tutegemee wanafunzi wengi katika hii party maana walivyo na kasi yakutafuta wapenzi katika Majukwaa ya MMU sasa kitu live watamwagikaje??Nanyie mnaotafuta Wachumba JF Ndo mwaka wakupata ulichokingojea kwa mda mrefu ni wakati wakuweka mahusiano mean "SET IT FREE":wink2::A S wink:
 
Dress code nafikiria mwaka huu iwe Casual wear! Theme Keep it short! Manake kule beach charanga namna gani. Colours no limitation.

uwiii lara 1 sie walima magimbi viguu nimekomaa balaaa afu ntupie short mwee utanfanya nbadili id.
Jeans na top kidadaduu fulani hivi au tshirt itanoga zaidi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu watu8 endelea kusongesha miye nafuatilia huu mtanange wako na lara 1.
Naamini hii interview itaondoa hali a sintofahamu kwa wale wanaotilia mashaka mjumuiko huu wa tarehe 25 January 2014 pale Escape 1................

Tunajiandikisha wapi? count me in. Saa ngapi??
 
Back
Top Bottom