JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

We nawe usitake kun'tibua nanilii bure.
Btw majukumu ya kumuhudumia mume yamenibana japo natamani sana kuja Escape 1 KakaKiiza.
Usijali.....maliza party....then uje kwenye Party ingine kwangu:mimba::becky:

My x-wifi jamani, umepotea niaje?? Hapa niko njiani natembea taratibu ifikapo jmosi nitakuwa nimefika Escape 1.

Hata kama hutokuwepo nitahakijisha nakusaka mpaka nikuwone!!!
 
Last edited by a moderator:
Naweza kusema tu kuwa WOGA WAKO NI UMASIKINI WAKO!!!!!!!!!! Come on! Hii ni party, watu hatujuani, tunakutana kwa lengo la ku party TU!!!!!!!!!!! Sasa wasiwasi wako nini haswaaaaaa? We dont know you! Pae ni sehemu watu tunakutana kwa minajili ya kuparty! If you meet people watakao kuintrest then mtamalzana kivyenu, waki kuboa, unaondoka kama ndo binti hutoi number! Watajiju! Kwani deni?

Afu ni shughuli ya kistaarabu sanaaaaa! Very classy and trendy, huombwi kufanya kitu usichotaka wala hulazimishwi kufanya jambo usilojiskia!

ITS YOUR CALL, TO SPEND THE EVENING WITH YOUR LOUSY DAY TO DAY PEOPLE OR TAKE A CHANCE AND TRY A NEW BEGINNING!

Last year i could have sat at home, ninywe amarula damage ile ya 30, then mpaka leo ningkuwa na waswazi wangu wale tunapiga miahayo!I made a choice ya kwenda White Party, and in he party i met sombody, we talked business, nikajipigia debe la hatari, i didnt take the person seriously anyways, but to my surprise kanipa dili la tumillion kadhaa, mpaka nikaacha kazi kwa kibri! LOL! SO I TOOK A CHANCE ILINILIPA! THIS YEAR I AM EVEN TAKING A BIGGER CHANCE!

NEW PEOPLE= NEW OPPORTUNITIES!!!!!! OLD PEOPLE = SAME OLD BORING LIFE!

Where is your adventure spirit people!

Ile button ya LIKE leo imepotea hata sijui kwanini......Hiyo Jumamosi niafoji VISA nije aisee...!
Swali langu : Kwani lazima pesa itumwe in advance au naweza kulipa siku hiyo hiyo?
 
Swali langu : Kwani lazima pesa itumwe in advance au naweza kulipa siku hiyo hiyo?

Mkuu ni lazima kulipa kabla ili kufanikisha maandalizi kama vinywaji, chakula na ukumbi...
 
King Mswati, tehe tehe tehe, hivi ile ahadi ya nanihii ikaishia wapi?? una mengi ya kujibu wewe ooh!
Si nilikupigia ukasema mara CD kakupa lundo kasema ni sipite sema na sikukuu zikaingia ila hakuna kilicho haribika ni ku review tu au??kwako imekaaaje??
 
Mkuu ni lazima kulipa kabla ili kufanikisha maandalizi kama vinywaji, chakula na ukumbi...

Nimekuelewa. Na deadline ya kulipa ni lini? Je ukumbi umehama toka Kebby's kwenda Escape 1?
 
Well maka jana ilibamba mbayaaaaaaa! Na mwaka huu tumejaribu jaribu ku UPGRADE, kama VENUE imetoka KEBBY'S imehamia ESCAPE kitu mandhari ya beach! Na mengine mengi ambayo ni surprise ya watakaohudhuria!

Vipi kama nitakuja na kiingilio changu siku ya tukio? Halafu vipi, tutakuwa tunatumia majina yetu ya JF ama?
 
Nimekuelewa. Na deadline ya kulipa ni lini? Je ukumbi umehama toka Kebby's kwenda Escape 1?

Mara ya kwanza deadline ilikuwa ni siku ya leo, ngoja nikuitie Mtambuzi kama kuna mabadiliko yoyote...

Kumbuka taarifa ya awali ya uwepo wa hii shughuli iliwekwa hapa jamvini tangu mwezi Desemba...

Naam sherehe itafanyika Escape 1 na si Kebby's Hotel...
 
Last edited by a moderator:
Vipi kama nitakuja na kiingilio changu siku ya tukio? Halafu vipi, tutakuwa tunatumia majina yetu ya JF ama?

Pesa inalipwa kabla ya mkusanyiko huu...

Jina utalopenda wewe kutumia liwe la JF, liwe halisia au hata aka nyingine maadam ufuate utaratibu utaopangiwa wa namna ya kuingia...
 
Pesa inalipwa kabla ya mkusanyiko huu...

Jina utalopenda wewe kutumia liwe la JF, liwe halisia au hata aka nyingine maadam ufuate utaratibu utaopangiwa wa namna ya kuingia...

acha zako ww,mbona hamsemi matumizi ya pesa......

wanakamati na bajeti au ni kabiashara ka mtu?

mi natia timu,chadema mwenyewe....ufisadi hamna kbsa:mod:
 
Hujui ulinenalo...

acha zako ww,mbona hamsemi matumizi ya pesa......

wanakamati na bajeti au ni kabiashara ka mtu?

mi natia timu,chadema mwenyewe....ufisadi hamna kbsa:mod:
 
Unamaanisha nini kutoka kiaina mkuu?

Kama utaweza kusafiri kuja Dar basi karibu, otherwise nanyi mnaweza kujikusanya huko na kufanya event kama hii...

Unampango wakutoka kiaina?ok wa mwanza je?
 
Back
Top Bottom