JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

Bi Mkubwa umeadimika kama jasho la kuku....Jmosi tuonane

Unajua umeniwahi, Heri ya mwaka mpya. Naomba kama una namba yangu unitext nipate yako. Nitakutafuta i see. Ka simu kangu walikachapa hapa nimeanza kukusanya namba upya.
 
Umeamua kuja na ID yako ya zamani baada ya kutumia mpya sasa unaona kwenye maswala unayofahamika unatumia hii ID???Saa huyo Tuko sh,30,000/ inaweza kukusababisha usisomeshe watoto??Halafu we Madame B unajuaje kama mimi nimeenda jando la ukubwa??wakati ujawahi kuwa nesi wangu wakati nakuja kufanya dressing??(Mabwaku)Halafu mko wengi mna ID mpya kwa hii JF Party ndo mmeibuka ukiuliza eti ubusy ndo unawafanya msiwepo kwenye jukwaa kumbe mnashinda humu na ngozi ya kondoo!!:becky:

We nawe usitake kun'tibua nanilii bure.
Btw majukumu ya kumuhudumia mume yamenibana japo natamani sana kuja Escape 1 KakaKiiza.
Usijali.....maliza party....then uje kwenye Party ingine kwangu:mimba::becky:
 
Last edited by a moderator:
We nawe usitake kun'tibua nanilii bure.
Btw majukumu ya kumuhudumia mume yamenibana japo natamani sana kuja Escape 1 KakaKiiza.
Usijali.....maliza party....then uje kwenye Party ingine kwangu:mimba::becky:
Hongera

:A S-confused1:🙄Haya nitakuja!
 
Back
Top Bottom