JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

du yaaani nimepata motivation ya ajabu kuhudhuria hiii party although sina kampan lakini ntakuja tu kila kitu kitajulikana huko huko ndani ya escape kubwa la maaadui me mpaka jumatatu ntakuwa nishatengeneza p. o.box yangu

Umeona eeh?
 


Hapana bwana, ladyfurahia, kuchelewa si tatizo ki hivyo...

May be Mtambuzi anaweza kuona hoja ya mjukuu wangu na kutupa nafasi kwenye V day!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

hahahaaa dady umenichekesha sana LOL......hiyo siku nataka kumuona dady wangu live live ndani ya

ESCAPE.......
 

kakakiiza naona umeamua utoea ya moyoni,hahahaha.
 
Last edited by a moderator:
I think my former roommate kibosho you need to see this if not yet,tujipange mwanawane tukajivinjari.
 
Last edited by a moderator:
Party inaanza saa ngapi na nikituma pesa kwa mobile how my ticket is going to be confirmed?

Party inaanza saa 11 sharp! Ukipa, wasiliana nae kuwa unalipa then mtawasiliana juu ya what next! Namba hizo hapo juu!
 
hahahaaa dady umenichekesha sana LOL......hiyo siku nataka kumuona dady wangu live live ndani ya

ESCAPE.......
Usingoje Escape 1 hata ukisema Dady nataka nikuone kesho i am full available to whom who need my advise!

Party inaanza saa 11 sharp! Ukipa, wasiliana nae kuwa unalipa then mtawasiliana juu ya what next! Namba hizo hapo juu!
Mwambie hakuna shida ya Ticket kupotea kuanzia mwaka juzi,jana unapewa code no mlangoni ndo unakuja nayo siku hiyo!!
 
Una akili sana mjukuu wangu....

Ndiyo maana una seat ya pekee nyumbani kwa bibi!

Babu DC!!

Wooow, thanks babu...una mchango mkubwa sana katika haya maakili babu.
Pia zile senene, kumbi kumbi na samaki anazotuandalia bibi zimechangia pia plus toke babu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…