JF Members in their real pictures... LOL!

Huyu ndio AshaDii:
185391_240200596103037_1154987295_n.jpg

 
Last edited by a moderator:
AshaDii ! AshaDii ! umeamua kusigina CV zetu! Najibu mapigo

  • default.jpg
    images
    images
  • Mkandara kaniuliza anaweza lipa ushuru kwa $ TRA hilo la blue.
  • Mag3 ameniuliza hilo la orange anataka kuuza kuna anayehitaji bongo?
  • Dark city ameniuliza kama spea za hilo la kijivu zinapatikana bongo anataka kulileta.

Tuone nani atakayesema ' baba mkali naogopa' alah
 
AshaDii kwenye kikao hicho cha kuua chama cha infidelity muafaka ulikosekana baada ya kutokea mabishano makali!
Asprin akamchoma huyo member wa pili kusoto TIMING kwa kitu chenye ncha kali baada ya huyo jamaa kuwasilisha pepa iliyomtaja Asprin kuwa ndiye muasisi wa INFI!
 
Last edited by a moderator:
Shem AshaDii Hii picha ni konfidesho.........wacha niongee na Kaizer nijue la kufanya!
BTW: Hizo nyonyo za Keren_Happuch hizo!


Wakiwa wametoka kujadili hoja nzito ya kukiua chama cha maarufu cha "Infidelity" tokana kanuni mpya zilizowekwa picha ya tume husika ya chama hicho. Hapo mbele ni kiongozi wao Kaizer, wakiwa wamefuatiwa huko nyuma mstari wa mbele na Teamo, Asprin, ODM, Fidel80, TIMING, The Boss, Bishanga, Madabwada, Ndahani, Kimey, RR , Baba_Enock, fazaa, Mr Rocky, The Finest, klorokwini, hashycool, PakaJimmy... wengine hapo hawatakiwi kutajwa. wapo Incognito mode... lol

10.gif

 
Last edited by a moderator:
Kwa jinsi ulivyojitahidi kuvunja watu mbavu....naamini umepata usingizi mnono na msaada (virtually) kutoka kwa huyo mtaalam aliyekuachia upweke!!

Ungekuwa member wa chama chao, ningekushauri kuomba msaada ule wanapeana peana (kizuri kula na best friend wako)!!

ADii,.....kumbe PAW ni ni dada yetu??? Siku zote najua ni njemba na kwamba once in while inatuma PM za uchokozi kwa wajukuu zangu!!

Mie sitii neno,

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom