JF member #16,000: Welcome Nyamtangi


Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Messages
16,277
Likes
294
Points
180

Dark City

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2008
16,277 294 180
I have a Multiple-ID detector; akiwa ni duplicate nitam-delete mkuu

Safi sana na hongera mkuu.

Kwa vile hukutangaza kuwa 16000th member angepewa zawadi nadhani itakwenda kama kawaida. Vinginevyo isingekuwa ajabu watu kutumia ujanja wa porini kupiga hilo bao. Dual ID kwenye hili jamvi ni upuuzi usiopimika. Ingewezekana akipatikana mtu wa namna hiyo ID zake zote zipigwe chini ili aanze upya au atimue zake!
 

Sipo

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2008
Messages
2,146
Likes
12
Points
0

Sipo

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2008
2,146 12 0
Kuna zawadi Mkuu Inv? Kama ipo nimwambie wife ajiunge fasta tukamatie hizo bingo za JF
 

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
335
Points
180

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 335 180
Something, kinda special has to be done over that member...
Tutamsurprise, na awe kinda celebrity ndani ya JF.
Mimi nampa cheo cha CONFLICT RESOLVER, AU ARBITRATOR!
 

Sipo

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2008
Messages
2,146
Likes
12
Points
0

Sipo

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2008
2,146 12 0
Something, kinda special has to be done over that member...
Tutamsurprise, na awe kinda celebrity ndani ya JF.
Mimi nampa cheo cha CONFLICT RESOLVER, AU ARBITRATOR!
Akiingia G. W. Bush, Osama bin laden, je????? bado utamtunuku hiki cheo????
 

Sipo

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2008
Messages
2,146
Likes
12
Points
0

Sipo

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2008
2,146 12 0
Mimi namuhahidi huyo member wa ID hiyo nitamkabidhi majukumu yangu huku JF na mimi kwenda sabbatical ya miezi sita mfululizo. I promise this kwa moyo mkunjufu labda yeye ashindwe
 

Msanii

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2007
Messages
6,437
Likes
383
Points
180

Msanii

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2007
6,437 383 180
Akija mla vya wenziwe je unadhani PJ utampa hizo credentials zako?

Sipo usiseme hivyo maana anaweza akaja mtu ukampa majukumu halau ukaenda sabbatical ukirejea unaanza kulia kwanza. teh teh.

Hapa tunamsubiri memba huyo mpya tumfunge nepi
 

Forum statistics

Threads 1,203,874
Members 457,010
Posts 28,132,843