JF member #16,000: Welcome Nyamtangi

oops ngoja nikasajili ka Binti kangu Michelle kataikuta ID 16000 kakikuwa;)

Ikiwa ana mwaka mmoja hadi afikishe uwezo wa kutumia kee bodi hiyo ID itakuwa idle au utatumia zote mwenyewe nitamwambia Invisible
 
JF si ni NGO kinamna? Ajiokeze mmoja wetu agombee ubunge kupitia NGO. Watu 16,000 ni constituent kubwa mno.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom