Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,847
- 5,220
Yaani nipo nakula chui wangu hapa naona jumamosi ndefu hakuna thiredi wala buldani jf, mipira yote leo ushubwada.....Man U kapigwa, City anapigwa
🙏relax...
na mikeka imeenda na mvua zinazonyeshaMan U kapigwa, City anapigwa
Mpaka mademu wako period, yaani hii weekend ni ya kiparoko...OVER!!!na mikeka imeenda na mvua zinazonyesha
piga Sana Ivo vijuisi mkuu sijui ni lager au lite chamsingi piga SanaLeo Jf kumepoa sana hakuna mada wala mijadala ya maana.
Gaddemit!!!
Wazee wa kusuuza koo UBWYB!!!
📌NIPO KATI NA KATI NIFATE USHAURI WA Dr.KISENG AU Dr.Janabi😣😣😇
#Mimi na chui🐯 bado sana kuachana🫂
Nakula lager....piga Sana Ivo vijuisi mkuu sijui ni lager au lite chamsingi piga Sana
utafikiri watu hawajalipwa posho Zao kumbe ni mwisho wa mwezi na jumamosi pia!?Mpaka mademu wako period, yaani hii weekend ni ya kiparoko...OVER!!!
Weekend imepooza sana watu watakuwa wanaiwaza EL NINO🥱🥱🥱utafikiri watu hawajalipwa posho Zao kumbe ni mwisho wa mwezi na jumamosi pia!?
Leo Jf kumepoa sana hakuna mada wala mijadala ya maana.
Gaddemit!!!
Wazee wa kusuuza koo UBWYB!!!
📌NIPO KATI NA KATI NIFATE USHAURI WA Dr.KISENG AU Dr.Janabi😣😣😇
#Mimi na chui🐯 bado sana kuachana🫂
safi mkuu INGEKUA upo kwetu hapa Lukumbule ningeku escortNakula lager....
mkuu utadakwa na mamlaka!?
Madokta kila kila siku wanakuja na taharuki mwingine chupa moja kwa saa mwingine chupa nne hazina mazara.Mimi safari
Kaa hapo karibu na counter kuna barmaid ana bonge la tako zikikolea unaweza ukapita nae na chui atakua ameona swala amenonaYaani nipo nakula chui wangu hapa naona jumamosi ndefu hakuna thiredi wala buldani jf, mipira yote leo ushubwada.....
Kisa!?😀mkuu utadakwa na mamlaka!?
Ila hawa madogo wako vizuri wananikumbusha enzi zangu za sec,sema wao leo hii wana tekinoloji.
haueshimu faragha na pia jezi za watu!?Kisa!?😀