Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Haya na mimi nahitaji, binti aliye serious ani-pm
nilimuelekeza kwa binti
bila mm wala asingemjua hahaaa!
Nasita kukupa hongera ama pongezi. Endelea kuwa mwangalifu sana maana humu mitandaoni vipo vingi vya hatariHabari wanaJF,
Mda umepita tangu nijitojeze kutafuta rafiki wa kike kupitia hii forum. Bahati nzuri kwangu, naamini nimempata ambaye Mungu aliniandalia. Tumeanza taratibu sana na urafiki wetu unaendelea vizuri sana.
Naamini sana urafiki wetu utaishia kwenye ndoa takatifu. Wale wanaosema hapa hamna, jaribuni tena, ombeni na Mungu atawapa kwa kadri ya mapenzi yake. Asanteni kwa mlionitakia heri.
Nasita kukupa hongera ama pongezi. Endelea kuwa mwangalifu sana maana humu mitandaoni vipo vingi vya hatari
vilivyojificha.
weka picha basi tumuone..
huogopi???safi sana all the best..... Ngoja na mimi nikaweke tangazo pia
kidonda kimeshapona ndugu ????au ndio umeamua kupanda pikipiki nyingine kabla mifupa haijakuunga vizuri kila la kheri ,weka kwa ungenge uone kama hupati mara moja kutema mayai ugonjwa wa wengi aiseesafi sana all the best..... Ngoja na mimi nikaweke tangazo pia
safi sana all the best..... Ngoja na mimi nikaweke tangazo pia
Hata negative hupati.Kuchema kweli njomba, mi mwnjenu chichemi kintu chacha ivi. Chubiri. Bhaaaaa! Nke wa ntandao? Chielewi, kule kuchema kwa kweli. Chipati picha.
kidonda kimeshapona ndugu ????au ndio umeamua kupanda pikipiki nyingine kabla mifupa haijakuunga vizuri kila la kheri ,weka kwa ungenge uone kama hupati mara moja kutema mayai ugonjwa wa wengi aisee