JF imenipatia binti.

JF imenipatia binti.

kila la kheri ila usinisahau
kwenye ufalme wa mnuso Elli79
 
Last edited by a moderator:
Habari wanaJF,
Mda umepita tangu nijitojeze kutafuta rafiki wa kike kupitia hii forum. Bahati nzuri kwangu, naamini nimempata ambaye Mungu aliniandalia. Tumeanza taratibu sana na urafiki wetu unaendelea vizuri sana.

Naamini sana urafiki wetu utaishia kwenye ndoa takatifu. Wale wanaosema hapa hamna, jaribuni tena, ombeni na Mungu atawapa kwa kadri ya mapenzi yake. Asanteni kwa mlionitakia heri.
Kwa nini mkeo mtarajiwa unamwita 'binti',mtafika kweli kwa style hii?
 
Habari wanaJF,
Mda umepita tangu nijitojeze kutafuta rafiki wa kike kupitia hii forum. Bahati nzuri kwangu, naamini nimempata ambaye Mungu aliniandalia. Tumeanza taratibu sana na urafiki wetu unaendelea vizuri sana.

Naamini sana urafiki wetu utaishia kwenye ndoa takatifu. Wale wanaosema hapa hamna, jaribuni tena, ombeni na Mungu atawapa kwa kadri ya mapenzi yake. Asanteni kwa mlionitakia heri.

Dah!!! kila la heri mkuu, ngoja na sisi tuongeze juhudi mzee
 
Na wewe ni mtata..Binti ni neno la heshima sana tena ni kiswahili sanifu..Angesema mbebs au demu labda..Muache afurahi bwana....

Asante kwa kunisaidia kujibu.... mi nilishindwa nimjibu nini.
 
Back
Top Bottom