ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,504
- 119,336
- Thread starter
- #101
Hongera saaaaaaaaaaaaaaana na naamini Mungu uliyemtegemea ndiye atakayekuwezesha kufikia malengo yako kimaisha. Muishi kwa upendo usio na unafiki na kamwe msiishi maisha ya kitamdhilia....Kuna waliokuambia ni mapema sana kutoa jibu ila naamini umerudi kwetu baada ya kuona kitu katika mwanzo wenu. Nitawakumbuka katika maombi ili mungu awaoteshee mapendo ya dhati daima.
Amina! Tamatheo
Last edited by a moderator:
