JF Football team

JF Football team

Lol
Kauli zako tata... utakaa jukwaani na akina usiniumizieeeeee hadi utakaporekebisha kauli...lol

Mbona mnaanza kunipiga jungu hata team haijaundwa ?
Potelea mbali mkininyima No nipeni mzee wa timu, katika masuala ya kamati na mambo ya ulogi nna uzoefu, yaani nikipata tu mayai ya Bundi 7 Chitchat makombe mtayakimbia.
 
uzuri wa Rejao akiwatizama wapinzani na yale macho wanazimia.

Ile pua itakuwa inawadonoa wanaanguka kule.

Lazima Rejao awepo bana.
Nitaacha kufadhili timu, mie si ndo abromovichi.

Rejao anachezea jukwaa la Siasa na wamesema hawampangi kwa kuwa yeye ni gamba hivyo anaweza kupokea rushwa....
 
Mbona mnaanza kunipiga jungu hata team haijaundwa ?
Potelea mbali mkininyima No nipeni mzee wa timu, katika masuala ya kamati na mambo ya ulogi nna uzoefu, yaani nikipata tu mayai ya Bundi 7 Chitchat makombe mtayakimbia.

Sasa hapo ndio unenena unajua hatujapata kamati ya ufundi....so wewe ndo mwenyewe....
tunakupatia na Sweetlady akusaidie
 
uzuri wa Rejao akiwatizama wapinzani na yale macho wanazimia.

Ile pua itakuwa inawadonoa wanaanguka kule.

Lazima Rejao awepo bana.
Nitaacha kufadhili timu, mie si ndo abromovichi.

Shida ya Rejao hana timu maalumu...yan yuko siasa na chit chat huwa anakuja akimmiss mkewe
 
Wanawake wanacheza na wanaume? if yes, then count me in, tena nataka kua captain kabisa!
Nacheza 6, (milieu lateral). 1415253_3_deb7_adriana-karembeu-est-l-ambassadrice-de-charme-du.jpg
 
mmmh, wewe unafaa kuwekwa uwanjani, si kwa ajili ya kucheza.

Ila kuwalegeza magoti wapinzani kwa hiari, hizo nywele na shingo, mmmmh.

Wanawake wanacheza na wanaume? if yes, then count me in, tena nataka kua captain kabisa!
Nacheza 6, (milieu lateral).
 
mkifikia kupanga timu ya ule mchezo wangu mniambie...uwanja mdogo...hapa ntakua mbeba kiboxi cha huduma ya kwanza!...
 
Mie mchezaji kiraka mkinipanga beki, NITAWACHEZEA NYUMA HADI mtafurahi,
mkinipangia MBELE NITAWASUUZA na mtafurahia na pia niko mahiri kutia mabao ya kichwa!

mwisho!...sijawahi kuona braza mtata kama ww...hizo nafasi si utuachie wadogo zako...
Jg umenichekesha bana!..
 
Sisi wazee tayari viuno vimekakamaa tutafanya yale mambo tuliyojifunza zama zilee, mlima Kolelo!!
 
nadhani sina mpinzani kuhusu namba 5(sentahafu) yaan kama nemanja vidic
 
Back
Top Bottom