JF Football team

Teh teh teh teh kipo cha kusapoti tai kama cha ronaldo de lima ila mambo yangu gaucho hafikii waulize wakina pawasa wakati tupo umiseta.
Hahahahahaaaa uje nacho hicho maana inaonekana match itakuwa ngumu sana
 
namba moja maziwa ya mgando.
Namba mbili odm
namba tatu bishanga
namba nne rejao
namba tano emt
namba tano babu dc
namba sita nzi
namba saba mbu
namba nane bagah
namba tisa tanmo
namba kumi nyani ngabu
namba eleven the finest

reserves:
Mtaly
judgement
and son on

hii ndo timu yangu ya mpira hapa jf.

Washangiliani namba wani husyn, mbishi huyu
na wengine wote sasa.

wenyewe tupuuuu!?
 
Mi nitakuwa mwenyekiti kamati ya ufundi ninauzoefu wa hali ya juu kwenye mambo haya..
Ngoja nikawaweke sawa wazee wa Tanga na Sumbawanga...
 
no, nataka nijumuishwe na wale vijana waokota mipira, hivi wanaitwaje vile? Sijaona list yao!
Akina nani?
Nahisi ni ,Mtei One,Bagah,Smili9ng Saint,Jugdement,Asprin,Shabani,Uporoto,Klorokwini,Jegi,
Kuimbuka wote hawa wanategemea nguvu ya Usiniumizieeeeeeeeeeeeeeeee
 
Jukwaa la siasa tushaandaa jezi, tutapiga uzi wa maana! Hatuvai bukta,tutapiga 'topsi' la gwanda kama Cdm, uzi wa juu utakuwa na rangi kama bendera ya chadema. Ritz, Rejeo na pasco, hawatapangwa. Hawachelewi kupokea ki2 kidogo toka 'chit chat' c unajua tena wale ni magamba, na rushwa ni sehemu yao.

Nipo kwenye kisimu cha mchina ningekungoea "likes" kama kumi hivi!
Nadaka kama Shilton, sitegemei mpinzani golini (ila wakija magamba sichezi, hawakawii kuuza mechi hao).
 
Mi nitakuwa mwenyekiti kamati ya ufundi ninauzoefu wa hali ya juu kwenye mambo haya..
Ngoja nikawaweke sawa wazee wa Tanga na Sumbawanga...
Hahahahahaaa usisahau kwenda na Bagamoyo maana hawa jamaa wa Jukwaa la Siasa washazoea mambo yaufundi..
Yan hata wakiumwa malaria wao wanahisi tayari washazidiwa kete lol
wana maisha magumu sana aiseee
 
Nipo kwenye kisimu cha mchina ningekungoea "likes" kama kumi hivi!
Nadaka kama Shilton, sitegemei mpinzani golini (ila wakija magamba sichezi, hawakawii kuuza mechi hao).
Hahahahahaaaa hivi hujasikia captain wa Magamba ni Rejao na Kamati ya Ufundi ya Jukwaa la Siasa ni Ritz?
Lol hawa jamaa kama tukishindana kupitia kamati za ufundi tutalizwa hata 20 lol ndo fani yao
 
Hahahahahaaa usisahau kwenda na Bagamoyo maana hawa jamaa wa Jukwaa la Siasa washazoea mambo yaufundi..
Yan hata wakiumwa malaria wao wanahisi tayari washazidiwa kete lol
wana maisha magumu sana aiseee

Jukwaa la siasa unadhani basi ni wote kunawazandiku wachache kama Ritz, Rejao.... hawa itabidi niongee na wazee wapate degedege siku ya mechi.
 
Jukwaa la siasa unadhani basi ni wote kunawazandiku wachache kama Ritz, Rejao.... hawa itabidi niongee na wazee wapate degedege siku ya mechi.
Hahahahaaa siku hiyo lazma jukwaa la Siasa lidode sana
Halafu Rejao inabidi kumtenganisha na Cantalisia hata ikibidi kuwahamishia jukwaa la Matangazo madogo madogo
 
Namba moja maziwa ya mgando.
Namba mbili ODM
Namba tatu Bishanga
Namba nne Rejao
Namba tano EMT
Namba tano Babu DC
namba sita Nzi
namba saba Mbu
namba nane Bagah
Namba tisa Tanmo
Namba kumi Nyani Ngabu
Namba eleven The Finest

Reserves:
mtaly
Judgement
And son on

hii ndo timu yangu ya mpira hapa jf.

Washangiliani namba wani Husyn, mbishi huyu
na wengine wote sasa.

Siungi mkono hii timu hapa hakuna wachezaji watakao leta chachu ya ushindi labda Nzi na Rejao la sivyo tutaweka rekodi ya kufungwa mabao mengi hasa mechi za kimataifa.

Timu nayopendekeza japo kwa kuanzia ni:
1.Balantanda
2.Questt
3.Belo
4.Ndetichia
5.Gang Chomba
6.Nzi.
7.Rejao
8.Viper
9.Mc Tilly Chinzega
10.MwafrikaHalisi
11.Mbu

Team Coach:Kombo akisaidiana na assistants Pazi na Ulimakafu.
ODM na Babu DC ni washauri wakuu kutokana na uzoefu wao.

Reserves;
~Wacha,Huyu jeuri kama Tevez anawekwa benchi aache kauli mbovu.
~Punainen-red,Huyu kama Balotelli.
~Ambitious,super sub.
~Sobhuza,ana majeraha ya mara kwa mara alitumia nguvu nyingi sana last AFCON.Ni mchezaji mahiri sana.
~Pianist,safe hands.
~Ab Titchaz,can play as well as score with both feet.

Hapo tunaweza angalau kutoa upinzani wa kueleweka.

Note:Mazoezi ya Chit-chat yataendelea kama kawa kujiandaa na wanasiasa mechi za hisani na utangulizi.
Kikosi cha hapo juu ndio suggested 1st eleven ya JF kwa ujumla.
 
Dah kwenye first eleven yako naona chitchat hakuna mtu na akina Boflooo...wapo....
Hebu tuweke hata kwenye bench
 
Hahahahaaa siku hiyo lazma jukwaa la Siasa lidode sana
Halafu Rejao inabidi kumtenganisha na Cantalisia hata ikibidi kuwahamishia jukwaa la Matangazo madogo madogo

Khaaaaaa!shem mbona ndoa yangu inakunyima aman kiac hiki jaman!utashindwa na mbinu yako chafu,kituo chetu chit chat au siasa basi hakuna wa kutenganisha abadan! mme wangu namba lzm apate lol!
 
Akina nani?
Nahisi ni ,Mtei One,Bagah,Smili9ng Saint,Jugdement,Asprin,Shabani,Uporoto,Klorokwini,Jegi,
Kuimbuka wote hawa wanategemea nguvu ya Usiniumizieeeeeeeeeeeeeeeee

hah! mie muokota mpira??? ntake radhi mie... mie nimeshasema mimi beki kiungo mchezeshaji anayeshambulia
 
Back
Top Bottom