Halafu mijizi yenyewe mingi ni mikristo, huyu Fox ameshakuwa kibaraka wa wakatoliki.
...... Hawa Viongozi Wetu Wa Dini Hawaaminiki Tena
Halafu mijizi yenyewe mingi ni mikristo, huyu Fox ameshakuwa kibaraka wa wakatoliki.
Hii ni king'ola cha hatari,ni warning kwa wahuni wote maCCM kuwa watu wapo makini! walianza na story za "tumbili" tukawadhibiti, wakaja na story za zuio la mahakama watu mapema wamewadhibiti, na huu ujanja ujanja wa uchakachuaji unadhibitiwa mapema.Ili mjue kuwa watu wapo makina.
Ignorance is like a dark night and a good name always shines in the dark!
Ignorance is a magnet for preconceived idea!
Hivi mtu mwenye akili pevu anaweza kuamini kuwa Copy zote za ripoti zimeibiwa au page zimenyofolewa wakati wajumbe wote wa Kamati ya PAC wana original copy achilia mbali ofisi ya CAG na TAKUKURU.
Waacheni kwanza wabunge wafanye kazi yao waliyotumwa na wananchi.
Ungekuwa wewe hapa usharekebisha maneno kama; ka, sheia, CG nk lakini wenye akili zao wanaelewa content hawashughuliki na typing errors
au unataka aweke ule ukurasa wa nani ni nani?
MKUU mm ni PM hiyo report mi ntaiweka hadharAni na wala hatutadhulika na lolote wapi mwizi aibe kwako usubiri jirani kupiga kelele mi niko radhi yaniPate unayoyaogopa leta mzigo
polisi fanyeni kazi yenu
.....Unataka jipya la nini wakati we mwenyewe wa zamani.
Mkuu buibui hajawahi kuhamisha mtu nyumba!!!!
Ndio maana nasema kila siku wewe una ufahamu finyu sana. Ni lini kodi ya serikali kampuni binafsi inanegotiate?
Unafikiri Kama wanaCCM na wazito wasingekuwa na ridhaa juu ya hili Kafulila angefika wapi??
Jiulize swali jepesi tu ... Unakumbuka majibu ya watawala juu ya sakata hili kwenye hatua za mwanzo kabisa lilipoibuliwa na Kafulila?
Je unadhani bila msukumo Wa hao CCM kwenye hili Kafulila angefurukuta? kuna mangapi yanaibuka na kuzimwa bila lolote kutokea?
Je hujiulizi jeuri na kujiamini kwa watawala juu ya majibu waliyotoa awali imepotelea wapi? ni kafulila tu ameweza kuzima jeuri hii? Kama ndiyo mbona mwanzo hakuweza??
Unaamini ni Kafulila pekee anaehangaisha watawala wasilale??
Kama ndivyo fikra zako zilivyo Una safari ndefu Sana kuutambua ulimwengu huu Wa tabu...
Jah man and pon de replay Broda!Pass da dutchie pon de mi left hand side,mi say gi mi di music mek mi in da dance!! Mziki mnene shusha ngoma hiyo kina werema,nyooka,maswi,chenge waanze kucheza.
Ungekuwa wewe hapa usharekebisha maneno kama; ka, sheia, CG nk lakini wenye akili zao wanaelewa content hawashughuliki na typing errors
Narudia, moto huu hauzimiki kwa kuumwagia petroli!
Naam, nna mengi ya kujifunza kila siku wakati nipo hai, nnawashangaa nyinyi wapya mnaojiona kuwa mnajuwa kila kitu.
We mnyarwanda mambo ya watanzania yanakuhusu nini?.... Mkuu, Sirahisishi Mambo, Sema Sis Watz Bado Ubongo Umeganda.. Ukiwaongoza Watz Hupati Tabu Sana, Hawana Makuu, Haya Yangetokea Kenya Ungeona Moto Wake