Naona unahororoja tu. Vipi, umesoma karatasi "zilizonyofolewa"? kuna kipya?
.... Mkuu Vip Na Wewe Ulipata Kamgawo Nini? Mbona Unatetea Wezi. Hebu Ona Aibu Mkuu
Naona unahororoja tu. Vipi, umesoma karatasi "zilizonyofolewa"? kuna kipya?
Kwani kipi kinashindikana hapo Dada yangu FaizaFoxy ?
Watu waliweza kunyofoa za Mh.Jumbe itakuwa kwa CAG?
Muhimu tusubiri Bunge ukweli utajulikana.
.... Mkuu Vip Na Wewe Ulipata Kamgawo Nini? Mbona Unatetea Wezi. Hebu Ona Aibu Mkuu
Njoo Lumumba, kwani unavyoambiwa siku zote kuwa eti tunalipwa buku saba ulikuwa huamini?
Umezisoma kurasa zilizonyofolewa? kuna kipya cha zaidi?
Ignorance is like a dark night and a good name always shines in the dark!sema huna siyo unashindwa ku-upload,
siku zote huwa una upload namna gani na usiku huu net hata kwa babu Loliondo ipo kitu cha 3G.
hata kama ungekuwa nayo usinge upload wewe na wenzio kina Ritz, FaizaFoxy, Hamy-D, MwanaDiwani, chambruma na wale wenzenu hili kwenu ni ziwa la moto hamuwezi kujitiamo!
Katika sababu zilizotoldwa na CCM wamati wanatafuta sababu za kushuka kwa kura za JK ni JF....
.....Kwani kukuambia ukanawe nanihii kakutukana au kakukumbusha tu?Naona umekasirika, ulioyakuta hukuyategemea? usikasirike, huo ndio ukweli.
Mtaumia roho zenu sana mwaka huu. Hamna jipya zaidi ya kutukana na kusema uongo.
Njoo Lumumba, kwani unavyoambiwa siku zote kuwa eti tunalipwa buku saba ulikuwa huamini?
Umezisoma kurasa zilizonyofolewa? kuna kipya cha zaidi?
Jaina jipya? Isingekuwa na jipya Chama cha Majambazi mngelikuwa manajapa upepo? Kina pinda wanatamani kikombe kiwaepuke wewe unaleta utumbo hapa? Hadi Prof Busha anatetemeka huko aliko.....:becky::becky::glasses-nerdy:
Mkuu,
Kejeli za nini?
.....Kwani kukuambia ukanawe nanihii kakutukana au kakukumbusha tu?
... Ushamaliza Kazi, Kaciukue Buku 7 Yako
Usipaniki Bucha ......Hahaha....
sema huna siyo unashindwa ku-upload,