JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

Mkuu,

Pumzika; lengo si kuvuruga mwenendo wa Bunge bali kuwafanya wanaojaribu kufanya upotoshaji wafahamu kuwa nyaraka nzima ya ripoti ipo tayari kwetu raia na waache michezo yao.

Wawajibishane, kila mtu aubebe mzigo wake. Wanaowajibika na wawajibike; usanii wowote katika hili utachafua hali ya hewa pasi na ulazima wa kufikia huko.

Nadhani tusiendelee, tuliachie Bunge lifanye kazi yake

Mbona hiyo ni kurasa ya 24 Kati ya 59?

nashindwa tu Ku upload file hapa ningeweka yote
 
Invisible,

ITV wamesema kurasa zilizonyofolewa ni tatu za mwisho zikiwamo zenye orodha ya majina ya wahusika. Hii imekaaje?
Ni viambatanisho mkuu wangu. Basically tunavyo, na hata hizo pages mbili nilizoweka zimenyofolewa!

Hapa ninachotaka wafahamu ni kuwa, hatutaki kuingilia utendaji wa Bunge lakini wasihangaike na sarakasi zao; moto huu hauzimiki kwa kuumwagia petroli!
 
Nadhani Invisible ana point, mnakumbuka walichomfanyia yule jamaa wa Ze Utamu? Invisible anataka kuwaonesha kuwa original report is there ili wasije amini kuwa wamefanikiwa kuichakachukua, pia hataki kuwapa dirisha la kutokea baada ya mlango kufungwa! Let's wait and see what transpires!
 
Pamoja sana kiongozi!

Ni viambatanisho mkuu wangu. Basically tunavyo, na hata hizo pages mbili nilizoweka zimenyofolewa!

Hapa ninachotaka wafahamu ni kuwa, hatutaki kuingilia utendaji wa Bunge lakini wasihangaike na sarakasi zao; moto huu hauzimiki kwa kuumwagia petroli!
 
Siwezi pata usingizi, wakuu hii ni saa 01:40 ila sipo tayari kulala kama sitapata hizo page please nina uchungu sana na hii nchi.
 
MKUU mm ni PM hiyo report mi ntaiweka hadharAni na wala hatutadhulika na lolote wapi mwizi aibe kwako usubiri jirani kupiga kelele mi niko radhi yaniPate unayoyaogopa leta mzigo
 
Back
Top Bottom