JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

Ukweli huchelewa lakini hufika kwa wakati mwafaka twendeni tutafika.

Mpaka unatia huruma,huoni wenzio kina MSALANI Lizaboni et al wameshaona hii sio ngoma ya kitoto? Acha CCM wanaojielewa wakuonyesheni kuwa sio kila M CCM ni mjinga mjinga anaweza kuburuzwa tu.Twende kazi mkuu lusungo
 
Last edited by a moderator:
Mpaka unatia huruma,huoni wenzio kina@MSALANI Lizaboni et al wameshaona hii sio ngoma ya kitoto? Acha CCM wanaojielewa wakuonyesheni kuwa sio kila M CCM ni mjinga mjinga anaweza kuburuzwa tu.Twende kazi mkuu lusungo

Hao mbwa wanaobwaka kwa kukatwa mikia usihangaike nao.. Tupia mnofu Wa sumu tu anatulia....
 
Last edited by a moderator:
Mdugu yangu, Invisible anatuma ujumbe kwa wahusika kuwamzigo mzima upo kama ulivyotengenezwa. Sarakasi za mitaani hazitafanikiwa,wakiingia theatre mzigo uletwe kama ulivyo.

Waenyewe wanasemani prelude, kama hawakubali CD nzima itawekwa hadharani muda muafaka.

Baba upo? Nangojea ukirudi kule kwenye uzi wetu niyasome maneno yako tena na mkuu Mchambuzi.
 
Last edited by a moderator:
Pass da dutchie pon de mi left hand side,mi say gi mi di music mek mi in da dance!! Mziki mnene shusha ngoma hiyo kina werema,nyooka,maswi,chenge waanze kucheza.
 
... Jaman Watanzania.. Hili Halijaisha, Tayari Mwakyembe Naye Anatupeleka Kulekule
 
CCM wanaipeleka nchi pabaya, soon tutaanza kuchinjana
 
sema huna siyo unashindwa ku-upload,
siku zote huwa una upload namna gani na usiku huu net hata kwa babu Loliondo ipo kitu cha 3G.
hata kama ungekuwa nayo usinge upload wewe na wenzio kina Ritz, FaizaFoxy, Hamy-D, MwanaDiwani, chambruma na wale wenzenu hili kwenu ni ziwa la moto hamuwezi kujitiamo!

Kijana mbona unakurupuka, na wewe umeingia mkenge kwa uzushi wa mitaani kuwa ripoti eti imenyofolewa kurasa?

Hizo zilizowekwa hapa ni nini?

Na sijaona chochote cha kuonesha wizi wowote kati ya hizi kurasa zilizowekwa hapa.

Nashindwa hata kuwafikiria mkoje, yaani ni zaidi ya misukule.
 
..... Watanzania Wakiichagua Tena Ccm Nitawaona Hamunazo
 
Asante Invisible!

Watabakia kujificha uso huku viuno vikionekana. Mchezo wa kitoto ktk nchi ya watu wazima!

Nasubilia hatua zitakazochukuliwa na hivyo vyombo vya 'ulinzi na usalama'!

Ati document zimeandikwa confidential.....siri za serikali.....kumbe hizo ndo huwa siri za serikali? ......wizi ni siri ya serikali?

TISS ni chombo cha 'siri' za serikali.....?

Nasubili kuona uzalendo wa nchi yetu.....I am already at the crossing line.....mwenye kuanzisha uzi aanzishe tu-confirm wangapi tupo hapo na nini tuko tayari kufsnya dhidi ya hao wezi!
 
Back
Top Bottom