JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

Umeona eeh! Wiki hizi chache zinatia moyo sana kuona ile JF ya zamani imerudi tena kwa kishindo kikubwa. Natumai haitapotea tena.

Now this is Jf!The genuine one,ilee ya zamani ninayoijua.
 
invincible Wewe ni mtu muungwana sana...Fanya mambo
 
Last edited by a moderator:
Naona umekasirika, ulioyakuta hukuyategemea? usikasirike, huo ndio ukweli.

Mtaumia roho zenu sana mwaka huu. Hamna jipya zaidi ya kutukana na kusema uongo.
Ndio maana nasema kila siku wewe una ufahamu finyu sana. Ni lini kodi ya serikali kampuni binafsi inanegotiate?
 
Umeona eeh! Wiki hizi chache zinatia moyo sana kuona ile JF ya zamani imerudi tena kwa kishindo kikubwa. Natumai haitapotea tena.

... Kuna Wehu Wachache Kama Faiza Foxy, Msalani Na Wengine.Post Zao Hazina Kichwa Wala Miguu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Moto wa nini?

Mkuu, sioni mahala nilipokuhusisha na comment yangu ama kukutaja, vipi kunihoji?
Hapa tunachangia hoja kuhusu kunyofolewa kurasa za ripoti juu ya Escrow, hayo mengine ni nje ya mada.
 
Okay, mkuu turudi kwenye mada!
 
Invisible nakushangaa unaposema "taarifa za kuanza kunyofolewa kurasa za ripoti hii", unajishusha hadhi yako. Ripoti za mitaani kuchomolewa kurasa wewe au mwingine yeyote wa karne hii zinamstuwa?

Ripoti kamili na rasmi zipo, na wala hizo za mitaani zisikufanye ukakurupuka. Ngoja Zitto aziwasilishe ka mujibu wa kanuni na sheia za bunge, kama zitakuwa mbadala na zile za CG na PCCB hapo ndipo utakuwa na la kusema, kwa sasa chunga hadhi yako usiingizwe mkenge ukawa biased.

Ungekuwa wewe hapa usharekebisha maneno kama; ka, sheia, CG nk lakini wenye akili zao wanaelewa content hawashughuliki na typing errors
 
Last edited by a moderator:
Invisible nakushangaa unaposema "taarifa za kuanza kunyofolewa kurasa za ripoti hii", unajishusha hadhi yako. Ripoti za mitaani kuchomolewa kurasa wewe au mwingine yeyote wa karne hii zinamstuwa?

Ripoti kamili na rasmi zipo, na wala hizo za mitaani zisikufanye ukakurupuka. Ngoja Zitto aziwasilishe ka mujibu wa kanuni na sheia za bunge, kama zitakuwa mbadala na zile za CG na PCCB hapo ndipo utakuwa na la kusema, kwa sasa chunga hadhi yako usiingizwe mkenge ukawa biased.

Hii ni king'ola cha hatari,ni warning kwa wahuni wote maCCM kuwa watu wapo makini! walianza na story za "tumbili" tukawadhibiti, wakaja na story za zuio la mahakama watu mapema wamewadhibiti, na huu ujanja ujanja wa uchakachuaji unadhibitiwa mapema.Ili mjue kuwa watu wapo makina.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom