Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 462
Naona hajujuwi kuwa hiyo ni lugha ya negotiation, ni TANESCO waliotaka waondolewa capacity charge na mfanya biashara anasema na wewe ondoa kodi. Hapo sasa!
Hilo wala si la maana, na hutokea kwenye negotiation za miradi mikubwa kila sikuna usisahau kuwa miradi mikubwa mingi ina exemption za kodi.
Pia kumbuka, kuna tax evasion na kuna tax avoidance, tax evasion ni kosa, tax avoidance si kosa.
Kuna eneo umehororoja.