JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

CCM wangekuwa against hii issue wangeivumbua mapema kwa sababu wana full access na mambo yanayofanyika, lakini walikaa kimya hadi pale issue ilipofunuliwa na mbunge wa upinzani sasa CCM nao wanajifanya kuamka! Hivi lusungo unataka kutuaminisha CCM hasa waandamizi wakuu hawakujua uwepo wa huu uharamia kabla ya mhe. Kafulila?

Kila kitu kina sababu na wakati wake wa kufanyika asemacho lusungo ni ukweli mtupu kuwa ila taarifa kuvuja lazima miongoni mwa waliotayarisha wawe na nia ya kuifanya itoke, motive ikiwa nini sio issue ya sasa! !!!!

Hata kama wamedhulumiana hao waliotoa taarifa; by the way hapa mjadala huu sio wa nani zaid kati ya vyama!!

Tanzania kwanza vyama baadae saaaanaaa!!!
End note; lusungo leo naona unajua kwa nini kuna wakati wewe huwa unaona watu ni vyama X au Y but the truth is now within your very conscious mind!!!
 
Last edited by a moderator:
Utaona kuwa kuna watu humu huwa hawafikiri hata kidogo, hizo kurasa zilichomolewa kwenye kompyuta? wanataka ripoti iliyovuja mitaani zaidi ya iliyopo kihalali kwa PAC?

Hata mimi sikioni ni nini kikubwa kwenye hizi kurasa zilizowekwa hapa mpaka watu waongee hovyo.

Mkuu kinachoonekana katika unyofoaji huo uliofanyika iff happen ilikuwa kuprempty report hii na kudivert tention ya wanaofuatilia. Kuna wabunge wamehojiwa na kutoa maelezo yanayoonyesha hakuna chochote kimetokea ktk wizi huo na wakasema pesa sio umma tayari hili linashusha hasira za waibiwa(WANANCHI). Ila repoti ipo au kulikuwa na hujuma zinataka kufanyika isipelekwa ile halisi.
 
ndungu pongezi sana kwa kazi nzuri.... ila umakini unatakiwa katika matembezi yako wahuni wasije wakakuuwa tukakosa mtu muhim kama wewe katika kupigania tanzania yetu mpya. jumapili njema!.
 
Mkuu lusungo natamani kila mwana-CCM angekuwa na Moyo kama wako...Naamini tungekuwa mbali sana..Ahsante mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hii si ripoti ya mtu, ni ya watu. Utahonga wangapi? Kama kuna jumla ya watu takribani 60 wanayo, utaanza na nani umalize na nani?

Narudia, moto huu hauzimiki kwa kuumwagia petroli!

Kumbe mkiwa wenyewe wachache mnahongeka?
 
hivi kweli itafikia wakati watanzania tutakua sio waoga tena wa kuchukua maamuzi magumu?

Eeh Mungu tusaidie waja wako.
 
Naona umekasirika, ulioyakuta hukuyategemea? usikasirike, huo ndio ukweli.

Mtaumia roho zenu sana mwaka huu. Hamna jipya zaidi ya kutukana na kusema uongo.
Jaina jipya? Isingekuwa na jipya Chama cha Majambazi mngelikuwa manajapa upepo? Kina pinda wanatamani kikombe kiwaepuke wewe unaleta utumbo hapa? Hadi Prof Busha anatetemeka huko aliko.....:becky::becky::glasses-nerdy:
 
Naona sasa unaanza matusi bila mpango.

Lengo la invisible ni kuwajulishaa kuwa ripoti kamili ipo, nini zaidi? nyie mnafata ripoti za mitaani eti "zimenyofolewa", nani aliyerusha huo uongo? kituo hicho hicho cha dalali?

Jiulizeni, walinyofoa na kwa CAG? walinyofoa na PCCB? walinyofoa na kwa Zitto.

Hebu fikirini japo kiduchu, msiwe zaidi ya misukule.

Kwani kipi kinashindikana hapo Dada yangu FaizaFoxy ?

Watu waliweza kunyofoa za Mh.Jumbe itakuwa kwa CAG?

Muhimu tusubiri Bunge ukweli utajulikana.
 
Last edited by a moderator:
Kijana mbona unakurupuka, na wewe umeingia mkenge kwa uzushi wa mitaani kuwa ripoti eti imenyofolewa kurasa?

Hizo zilizowekwa hapa ni nini?

Na sijaona chochote cha kuonesha wizi wowote kati ya hizi kurasa zilizowekwa hapa.

Nashindwa hata kuwafikiria mkoje, yaani ni zaidi ya misukule.
Katika sababu zilizotoldwa na CCM wamati wanatafuta sababu za kushuka kwa kura za JK ni JF....
 
Wacha kukurupuka, huo ufisadi uko wapi? kuna ufisadi zaidi ya kuachanisha mtu na mkewe na ukamfanya hawara yako?

Naendelea kukusanya ushahidi wangu kuwa hii ID inatumika kama taasisi..Fungukeni tuwasome
 
Tutakula sahani moja nao.....tupo kila mahali .......hakuna pa kujificha....tutawaumbua......Asante Invisible kwa onyo hili.....
 
Last edited by a moderator:
Naendelea kukusanya ushahidi wangu kuwa hii ID inatumika kama taasisi..Fungukeni tuwasome

Njoo Lumumba, kwani unavyoambiwa siku zote kuwa eti tunalipwa buku saba ulikuwa huamini?

Umezisoma kurasa zilizonyofolewa? kuna kipya cha zaidi?
 
Back
Top Bottom