J'MOSI 23 Feb Kutakuwa na kikao cha dharura pale 'LEO TUPO HAPA PUB' Kwa Mjeda kuanzia saa 12 jioni..Nadhani tutakuwa na muda mzuri wa kujadili yatarajiwayo.... Wadau wa White Party na wale watakaopenda kuhudhuria wanakaribishwa.... Kwa watakaoaka kuhudhuria PM zielekezwe kwa Madame B, Paloma na amu
Copy: cacico, gfsonwin, amu, kipaji halisi, Jiwe Linaloishi,
Kaizer, Jeska, Asprin, Madame B, watu8, Mulama, Bujibuji, Zion Daughter, Remmy, snowhite, Paloma ...............
Paloma, tena waambie kwenye stock tayari kuna Contesa Gin, Contensa Rum, Captain Morgan, Strawberry Lips, Govinder Kumar Brandy, Tequila, Grants Whisky, Bailey Liquor na Jack Daniel Whisky bila kusahau Dompo na Nederberg Carbinet Sauvignon na Vina San Pedro 35 Sar......aiseee nimepata pm kama mia hivi.................nimekataa katakata hata kuwa hakuna kitu kama hicho....kwamba ni udaku...............kumbe maglass yangu yamenilead vibaya nilikuwa sijaona!!!
i must go back to them with the correct message now...............uuurrgggggggrrrrrrrhhh
Paloma, tena waambie kwenye stock tayari kuna Contesa Gin, Contensa Rum, Captain Morgan, Strawberry Lips, Govinder Kumar Brandy, Tequila, Grants Whisky, Bailey Liquor na Jack Daniel Whisky bila kusahau Dompo na Nederberg Carbinet Sauvignon na Vina San Pedro 35 Sar......
......pole sana...
Unan'chosha Bhana...........we ushasema hutaki, basi kausha, Ritz, zomba, Ben Saanane na Matola wanakuita kule Siasani
Naam, umeniita?
Ndio nimekuita zomba huku ChitChat.
Njoeni mum-bebe mwenzenu Nyani Ngabu muondoke nae mrudi nyumbani kwenu Siasani, huku ananitega tu.
Ntarudi baadae, niko bize kidogo kwenye darsa la Maalim Mohamed Said
J'MOSI 23 Feb Kutakuwa na kikao cha dharura pale 'LEO TUPO HAPA PUB' Kwa Mjeda kuanzia saa 12 jioni..Nadhani tutakuwa na muda mzuri wa kujadili yatarajiwayo.... Wadau wa White Party na wale watakaopenda kuhudhuria wanakaribishwa.... Kwa watakaoaka kuhudhuria PM zielekezwe kwa Madame B, Paloma na amu
Copy: cacico, gfsonwin, amu, kipaji halisi, Jiwe Linaloishi, Kaizer, Jeska, Asprin, Madame B, watu8, Mulama, Bujibuji, Zion Daughter, Remmy, snowhite, Paloma ...............
hii imenitoa sana machozi siku ya jana.......
nikawaza enzi zile wakati tunasoma shule za serikali na tunapata one......
siku hizi shule hizo hizo ndo zinaongoza kwa 4 na 0
hapa lazima kuwe na maamuzi magumu, otherwise hali itakuwa zaidi ya kuuawa mapadre
hao laki ngapi woote unafikiria watafanya nini zaidi ya kusubiri kusikiliza wapi wanaandamana kudai gesi isisafirishwe nao wakajiunge?
na mwakani.... na mwaka kesho kutwa......
mkuu nashukuru sana naomba udhuru sitaweza kuwepo kimwili ila ntashiriki kupitia digitali
Kwani wewe Dar wing?
Wewe si upo Namtumbo-Wing!
Kufanya forensic sio? LOL Baba V kimeumana huku beware naona umegusa pasipogusika
Za Asubuhi kwanza.