min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,711
- 128,532
Kaone 😁😁😁Afu mkono uache...
Una madhara fulani..
Mie nimeprove
Kaone 😁😁😁Afu mkono uache...
Una madhara fulani..
Mie nimeprove
😂😂😂Ifikie hatua haya Mambo tupambane nayo hikihiki kitaa....humu ni changamoto sana🤣
Unataja jina kavu kavu. Hata huko mwingine itakuwa hivo hivo
Sio wote mkuu, mimi bado😆😂😂😂
Huku kila mtu kavurugwa
we ni mwanamke kweli nisije kujichanganya😀Shindikana acha kujitetea, haiombwi hivyo😀
Ila akijaa kwenye mfumo..Ninaempenda ni ephen_ kama rafiki yangu tu wala sihitaji kua na uchumba nae🤗
Sawa ulishapata mume umeanza leta mambo ya watoto wa sinzaUnataja jina kavu kavu. Hata huko mwingine itakuwa hivo hivo
Vijana wadogo mna mambo ya ovyo😁😁😁😁 kwamba 🤔Ila akijaa kwenye mfumo..
🤣🤣🤣🤣 Siku hizi haiombwi inanunuliwa tuuHaiombwi hivyo
Naomba nije faraghaSitaki mchumba mimi 😎
We jidanganye, sijafunga na niko hapa kwa ajili ya mtu mmoja tu.
Hujaacha tu, halafu wewe nitakujua tu ni nani kwa ID nyingine 😅Mimi moyo wangu upo kwa Bantu Lady tu kama hujui
Tajiri huna baya tajiri ishi sana tajiriiiii 😎😎Sitaki mchumba mimi 😎
Ila kantriii,Mada za hivi zishawekwa zaidi ya mara 100. Hakuna jipya
Chukua togwa hapo kunywa usichoshe watu







Hakuna atakae kuingilia mkuuRuksa kutongoza yoyote yule ila kwa Bantu Lady usiguse nitauwa mtu ooh🙄