Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 36,230
- 60,550
Free TL free OthersBado Lissu, Heche na Lema 😄
Free TL free OthersBado Lissu, Heche na Lema 😄
Pas de reforms pas d'electionNRNE
NO REFORM NO ELECTION
Sikurataraji 3k zingefika fasta kiasi hikiNo Reform, No Election.
Mbona kidogo sana?Sikurataraji 3k zingefika fasta kiasi hiki
Daaah kuna watu mna nguvu sana humu JF... Post ya siku 3 au 4 tu tayari page 154... Very good Mshana... Anyway nisisahau...Tusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana...
Challenge yetu ni kufikisha replies 3000 by Jumatatu na comments zake ni
NO REFORMS NO ELECTION
N.RN.E
NoReNoE
Ama picha
Ama mchoro
Ama style yoyote ya maneno lakini ujumbe ukiwa mmoja tuu.. No reforms no election..!
Hata chawa akijaribu kuharibu uzi jibu lake liwe moja tu.. NO REFORMS NO ELECTION
Ombi kwa Moderator: tunaomba muulee na kuutunza huu uzi🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
View attachment 3359751
Ni wakati wa NENRDaaah kuna watu mna nguvu sana humu JF... Post ya siku 3 au 4 tu tayari page 154... Very good Mshana... Anyway nisisahau...
#NO REFORMS
#NO ELECTION
Labda kama itakua #EREC*ION...
No reform, no election
View attachment 3363057
2019/2020 pamoja na 2024 kuna bajeti kubwa sana ya billions iitengwa kwa ajili ya uchaguzi, hizi pesa zilikuwa nyingi kuweza kujenga madaraja kama ya Busisi au Maragarasi zaidi ya 10. Tungelitumia busara kama nchi tukazielekeza hizi pesa kwenye matumizi sahihi na kuwaacha viongozi waliokuwepo kuendelea hata Mungu angeritubariki kwa kusema na kutenda UKWELI na HAKI badala ya hizi ghiriba.Mimi nawaunga mkono, msiingie kwenye uchaguzi.
Kwanini tuwalazimishe haki yenu?
Nyinyi msiweke wagombea na msipige kura. Sisi tunaweka wagombea na tunapiga kura.
Hakuna kulazimishana, au sio?
Wewe ni chama gani!?Mimi nawaunga mkono, msiingie kwenye uchaguzi.
Kwanini tuwalazimishe haki yenu?
Nyinyi msiweke wagombea na msipige kura. Sisi tunaweka wagombea na tunapiga kura.
Hakuna kulazimishana, au sio?
Huyu ni ccmWewe ni chama gani!?