JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

Tusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana...

Challenge yetu ni kufikisha replies 3000 by Jumatatu na comments zake ni
NO REFORMS NO ELECTION
N.RN.E
NoReNoE
Ama picha
Ama mchoro
Ama style yoyote ya maneno lakini ujumbe ukiwa mmoja tuu.. No reforms no election..!
Hata chawa akijaribu kuharibu uzi jibu lake liwe moja tu.. NO REFORMS NO ELECTION

Ombi kwa Moderator: tunaomba muulee na kuutunza huu uzi🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
View attachment 3359751
 

Attachments

  • DEECE2B3-6C63-4C04-AD02-C6319CBCE02E.jpeg
    DEECE2B3-6C63-4C04-AD02-C6319CBCE02E.jpeg
    203.6 KB · Views: 11
Tulitumika kama daraja sasa hivi familiar zao zipo Canada,Ubelgiji. Tulitumika kama daraja watu wakahongwa Ubalozi wa Ubelgiji. Tulitumika kama daraja watu walikarudi CCM nakupewa uDC na uRC. Tulitumika,watu waliuwawa,tuliumia baadaye walituacha kwenye mataa na kuhongwa vyeo CCM.
Najitenga kutumika kama daraja kwa faida ya wengine ambao naamini watatuacha tena. Nyie endeleeni tu mimi sitathubutu kutia mguu wangu road kuandamana.
1. MASUMBUKO LAMWAI(NCCR-CCM)
2. SALUM MSABAHA(ile CUF ya moto-CCM)
3. MCHUNGAJI GWAJIMA(CHADEMA>CCM-?)
4. WILBROAD SLAA CCM-CDM-CCM-CDM)
5.HALIMA MDEE +18
6.PATROBAS KATAMBI(CDM- CCM)
7. SALOME MAKAMBA(CDM-CCM)
8. MTATIRO ( CUF- CCM)
9. PROF KITILA MKUMBO(CDM- CCM)
10. MCHUNGAJI PETER MSIGWA(CDM-CCM)
11. DAVID MWASHILINDI(CDM-CCM)
12. DAVID KAFULILA(CDM-CCM)
13. MAULID MTULIA(TEMEKE MB CUF -CCM)
14. ABDALA MTOLEA ( KINONDONI MB CUF -CCM)
15. MWITA WAITARA(CDM-CCM)
16. JULIAS KALANGA(CDM-CCM)
17. MOSES MACHALI(NCCR-CCM)
18. ALBERT MSANDO( CDM-CCM)
19. EMANUEL MACHIBYA( CDM -CCM)
20. DAVID SILINDE(CDM-CCM)
21. JULIANA SHONZA(CDM-CCM)
22. GODWIN MOLEL(CDM-CCM)
23. LATIFA CHANDE(CDM-CCM)
24. ANNA GIDARYA( CDM-CCM)
25.DR EMMAKULATE SEMESI SWARE(CDM-CCM)
26. MARWA RYOBA(CDM-CCM)
27. JOSEPH MKUNDI(CDM-CCM)
28. JAMES OLE MILYA(CDM-CCM)
29.PAULINE GEKUL(CDM-CCM)
30. JOSHUA NASSRI(CDM>CCM)
31. DR VICENT MASHINJI(CDM-CCM)
32. DR WILBROAD SLAA(CCM-CHADEMA-CCM-CHADEMA)
33. LOWASSA (CCM-CHADEMA-CCM)
34. SUMAYE (CCM-CHADEMA-CCM)
35. RAZARO NYARANDU(CCM-CHADEMA- CCM)
36.PROF KITILA MKUMBO( CDM-CCM)
37. DR MAKONGORO MAHANGA( CCM- CHADEMA- CCM)
40. AUGUSTINO LIYATONGA MREMA( CCM-NCCR- CCM)
41. KINGUNGE NGOMBALE MWILU( CCM-CDM)
42.
Bado Lissu, Heche na Lema 😄
 
Back
Top Bottom