Aliyeuwa ni aliyewacharaza masasi na eliyesema aCharazwe masasi.Wewe umepoteza maisha ya watu wengi sana kwa uhamasishaji wako. Unaandika na watu wanakuamini. Mabwege kweli yakaingia barabarani 29/10 wakati wewe uko nyumbani kwako una share video clips tu.
Moto wa jehanamu unakusubiri Mshana Jr