JF ...Auto reply ...will miss you guys!

Uwe na Likizo utakayo ishi kuikumbuka!
Nitakukumbuka hasa nitakapokuwa nakunywa kisusio!
hahahaaa!....vere vere!
 
Kila la kheri mama wa kwanza,,nahisi nitamiss uwepo wako.
Uwe na wakati wa baraka na wote wanaokuzunguka.
 
efu elo wani unaenda wapi mama?
mbona wantishaaaaaaaaa

SINA RAHAA SINA RAAAAAAAAAAAAAHAAAAAAAAA (EEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEHHHH)
nitaumia na mawazoooooooooooooooooooooooooooooooo
kama hunipendi nijue hunipeeendiii haiwezekani we kila siku unanizinguaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
hahahaha jamani Teamo nakuja kumsalimia Aunti yangu wee andaa get togeza Binamu
 
efu elo wani unaenda wapi mama?
mbona wantishaaaaaaaaa

SINA RAHAA SINA RAAAAAAAAAAAAAHAAAAAAAAA (EEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEHHHH)
nitaumia na mawazoooooooooooooooooooooooooooooooo
kama hunipendi nijue hunipeeendiii haiwezekani we kila siku unanizinguaaaaaaaaaaaaaaaaa

hahahahhhh
 
same to to you my dear!love to the little angel:redfaces:kariibuni for xmass
 
Back
Top Bottom