JF Arusha; Beyond keyboards......!!!!

Huko Arachuga big up sana.
Rula upo mzee?
 
Amen....
 
Mkuu vipi bhanaa...wewe ulitakiwa kuuzima moto...cha kushangaza unaongezea petroli kwenye huu moto. bongo si kila siku ni sikukuu wali upo tuu tena ule mchafu...sio mweupe..siku hizi hata kuku akimaliza kutamia usishangae kuitwa kwenda kula wali..hivyo sio lazima tumpoteze preta ndo tule wali.

Bora mwaya preta we jinyonge ili tule wali maana tumechoka na safari za kericho kila siku
 
No no no....sio maamuzi ya busara..fikiria tena na tena kabla hujaamua..Mkuu PJ wapi wewe bhanaaa???

hapana......wacha niondoke........na ujumbe nakuachia.......kwamba......waliosababisha yote haya ni PJ na SaharaVoice......wawajibishwe
 
Preta Nakusubiri ujue! Fasta hebu njoo hapa!
 
hapana......wacha niondoke........na ujumbe nakuachia.......kwamba......waliosababisha yote haya ni PJ na SaharaVoice......wawajibishwe

Kulikoni tena furaha ipitilize iwe kilio???
 
hapana......wacha niondoke........na ujumbe nakuachia.......kwamba......waliosababisha yote haya ni PJ na SaharaVoice......wawajibishwe
Kwahiyo Preta unaamua kujinyonga bila hata kuniona mama? Aaaaa hebu ukuye hapa ****** baa kwanza tujadili hiyo modaliti ya kuji-nyonga
 
hapana......wacha niondoke........na ujumbe nakuachia.......kwamba......waliosababisha yote haya ni PJ na SaharaVoice......wawajibishwe

Sisi tumeshaelewa shemegi!

Achana nao wasioelewa unachomaanisha!... ha ha haaa!, imekula kwao!

Poa basi, hiyo kesho utatustua, japokuwa Sahara amesema kwamba kwa vile kESHO ni J,Mosi, basi ataanza yeye kujinyonga mapema, na wewe utafuatia maana asubuhi utakuwa bise na ule ugeni wetu!

Mtanidipu basi mkiwa meneo!
 
Lily Flower nna kesi na ww hebu kuja hapa MaTKo Bar tujadili! Nimekumiss ujue! Acha tu!
 
Preta, ntaweka alamu kesho nikukumbushe kujinyonga kama utapitiwa na usingizi
 
Preta, ntaweka alamu kesho nikukumbushe kujinyonga kama utapitiwa na usingizi

yesuuuuu......ni nini mae utake kunimuvuzisha haraka hivi.......utanifanya nifanye leo hii kitu ati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…