Cc:mwimba.gsSorry... Nilikua busy kimtindo.
Kwanza nikubali kuwa mimi ni mtumiaji mzuri wa mmea pendwa(bangi)...
Pili ume prove hujui lolote kuhusu jeshi... Baada ya kusema kamandi ya anga hawavai bakabaka.
Hivi ndio vifaa vyetu na sio hivyo vya kugoogle...
Hughes/MD 500
DHL-5 Buffalo
Shaanxi Y-8
Short SD3-30
Hizo ni baadhi... Usilete ujuaji wa kijinga kijana.
Kumbe jeshi letu halina siri basi... Kama mlichonyesha uhuru ndicho mlichonacho...Mkuu...
Kwenye upande wa Fighters hatujaendelea kihivo...
Zaidi ya ndege unazoziona kwenye sherehe za Uhuru... No more.
Jeshi sio chama cha vikoba kwamba kila mtu anafahamu marejesho ni riba kiasi gani......ukitaka kuona vifaa anzisha vita......NALIPENDA SANA NA NALIAMINI JWTZ MAANA MIMI KAMA KIJANA NI SEHEMU YA JESHI HILI
Kuna siri classified na ambazo zinaruhusika kuwekwa wazi.Yaani vitu unavuoweza kuona unaona approximation yake.Kumbe jeshi letu halina siri basi... Kama mlichonyesha uhuru ndicho mlichonacho...
Mkuu hata majeshi ya nchi kubwa wanafanyaga show na kuwaonyesha wananchi wao na hata maadui nini walichonacho ila huwa hawaaniki kila kitu mzee... Ndo mana saiz utakuta kuna watu wanajua sana majeshi ya nchi nyingine ya vifaa gani vikali ila haimanishi hivyo ndo kila kitu.. Kuna vitu vingine vinakuaga ni siri mkuu hata baadhi ya wanajeshi wake wenyewe hawajui kama vipo..Kumbe jeshi letu halina siri basi... Kama mlichonyesha uhuru ndicho mlichonacho...
Siri zipo...Kumbe jeshi letu halina siri basi... Kama mlichonyesha uhuru ndicho mlichonacho...
i.e vitu vinavoonekana ni scale ya vitu halisiSiri zipo...
Ndio maana zikaitwa siri... ulichokiona ndio raia anatakiwa kukiona.
Usichokiona basi hustaili kukiona raia...
Hivyo nikikwambia Jet Fighters zipo mbili... Jiongeze.
Yeah Mkuu...i.e vitu vinavoonekana ni scale ya vitu halisi
Point!bukoba boy sidhani kama mtu anayejua firepower na hardwares za TPDF anaweza kuja kuandika humu hata siku moja. Hao jamaa wana security clearance ya juu sana na wanakuwa chini ya uangalizi mkali sana masaa 24....
asante kwa kuanzisha thread....
Kabisaa.kitu kinanifanya niipende jwtz ni kwavile haijiusishi na siasa
Kufanya nini?Mods mpite huku please!
ha ha! mkuu hizo ni ndege maalum ili kuleta taharuki kwa adui apaniki akili(kuweweseka) asijue cha kufanya huo ndo muda wa makamuzi ni moja ya mbinu za kijeshi,zipo nyengine muungurumo wake mpk nyumba za vioo vinapasuka kwanini usibahe na kutawanyika kusikofahamika!Asee basi mnunue ndege mpya ambazo hazina kelele namna hyo.kama unapresha unakufa kabisa.
Mi navojua hayo makelele ni technology ya kizamani sana,sikuiz ndege inapita na kufanya makamuzi bila hata kuonekana kwenye rada.sasa hayo makelele si unawatisha raia tu.Wamepita juzi maeneo ya home hapa kwenye mazoezi yani huo mngurumo hata zile radi za mwanza hazioni ndani.ha ha! mkuu hizo ni ndege maalum ili kuleta taharuki kwa adui apaniki akili(kuweweseka) asijue cha kufanya huo ndo muda wa makamuzi ni moja ya mbinu za kijeshi,zipo nyengine muungurumo wake mpk nyumba za vioo vinapasuka kwanini usibahe na kutawanyika kusikofahamika!
nafikiri zimetengenezwa kwa miundo tofauti,kuna nyengine unasikia mlio kote hlf ukiangaza huoni ndege hata hujui inachomozea wapi!,nyengine mlio waja nyuma! hehe! ukiskia mlio jua imepita na imekunya!!