Jeshi Letu La Wananchi kamandi ya Anga

Hakuna shaka,bado tunakopesheka,
Kama noma likizuka ,tutapata msaada tu,si lazima tununue tundege,hata panzi na vipepeo wanatosha.
 
Sorry... Nilikua busy kimtindo.

Kwanza nikubali kuwa mimi ni mtumiaji mzuri wa mmea pendwa(bangi)...

Pili ume prove hujui lolote kuhusu jeshi... Baada ya kusema kamandi ya anga hawavai bakabaka.

Hivi ndio vifaa vyetu na sio hivyo vya kugoogle...

Hughes/MD 500
448807750e28485d1c579c93478c1b49.jpg

DHL-5 Buffalo
edf4f45edcceb16ffb335e6abb094c21.jpg

Shaanxi Y-8
bd36071e5942b077a373d08b0fa4afd5.jpg

88ea892e76388d43e62ecbf14d63f367.jpg

Short SD3-30
b3bd487bcedf506ddcc96542cab46246.jpg

Hizo ni baadhi... Usilete ujuaji wa kijinga kijana.
Cc:mwimba.gs
 
Jeshi sio chama cha vikoba kwamba kila mtu anafahamu marejesho ni riba kiasi gani......ukitaka kuona vifaa anzisha vita......NALIPENDA SANA NA NALIAMINI JWTZ MAANA MIMI KAMA KIJANA NI SEHEMU YA JESHI HILI
 
Kumbe jeshi letu halina siri basi... Kama mlichonyesha uhuru ndicho mlichonacho...
Kuna siri classified na ambazo zinaruhusika kuwekwa wazi.Yaani vitu unavuoweza kuona unaona approximation yake.
 
Kumbe jeshi letu halina siri basi... Kama mlichonyesha uhuru ndicho mlichonacho...
Mkuu hata majeshi ya nchi kubwa wanafanyaga show na kuwaonyesha wananchi wao na hata maadui nini walichonacho ila huwa hawaaniki kila kitu mzee... Ndo mana saiz utakuta kuna watu wanajua sana majeshi ya nchi nyingine ya vifaa gani vikali ila haimanishi hivyo ndo kila kitu.. Kuna vitu vingine vinakuaga ni siri mkuu hata baadhi ya wanajeshi wake wenyewe hawajui kama vipo..
 
Kumbe jeshi letu halina siri basi... Kama mlichonyesha uhuru ndicho mlichonacho...
Siri zipo...

Ndio maana zikaitwa siri... ulichokiona ndio raia anatakiwa kukiona.

Usichokiona basi hustaili kukiona raia...

Hivyo nikikwambia Jet Fighters zipo mbili... Jiongeze.
 
Asee basi mnunue ndege mpya ambazo hazina kelele namna hyo.kama unapresha unakufa kabisa.
 
Asee basi mnunue ndege mpya ambazo hazina kelele namna hyo.kama unapresha unakufa kabisa.
ha ha! mkuu hizo ni ndege maalum ili kuleta taharuki kwa adui apaniki akili(kuweweseka) asijue cha kufanya huo ndo muda wa makamuzi ni moja ya mbinu za kijeshi,zipo nyengine muungurumo wake mpk nyumba za vioo vinapasuka kwanini usibahe na kutawanyika kusikofahamika!
nafikiri zimetengenezwa kwa miundo tofauti,kuna nyengine unasikia mlio kote hlf ukiangaza huoni ndege hata hujui inachomozea wapi!,nyengine mlio waja nyuma! hehe! ukiskia mlio jua imepita na imekunya!!
 
Hivi ni kweli kuna kuwa na secret base kambi za siri katika majeshi au ni maneno
 
ha ha! mkuu hizo ni ndege maalum ili kuleta taharuki kwa adui apaniki akili(kuweweseka) asijue cha kufanya huo ndo muda wa makamuzi ni moja ya mbinu za kijeshi,zipo nyengine muungurumo wake mpk nyumba za vioo vinapasuka kwanini usibahe na kutawanyika kusikofahamika!
nafikiri zimetengenezwa kwa miundo tofauti,kuna nyengine unasikia mlio kote hlf ukiangaza huoni ndege hata hujui inachomozea wapi!,nyengine mlio waja nyuma! hehe! ukiskia mlio jua imepita na imekunya!!
Mi navojua hayo makelele ni technology ya kizamani sana,sikuiz ndege inapita na kufanya makamuzi bila hata kuonekana kwenye rada.sasa hayo makelele si unawatisha raia tu.Wamepita juzi maeneo ya home hapa kwenye mazoezi yani huo mngurumo hata zile radi za mwanza hazioni ndani.
 
Jamani hivi haya mazoezi ya hizo ndege mbona tunateseka sana!
Ni kelele za kutisha, hawawezi kwenda kufanyia nje ya mji?
Zinapita kwa kasi kelele kubwa!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom