Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,040
Nimefurahi pale ulipoandika "helicopter nazo tunazo eti" hahahaa
Jeshi letu sisi wananchi.Nimefurahi pale ulipoandika "helicopter nazo tunazo eti" hahahaa
Sasa wewe nani kakupa mamlaka ya kuweka mambo ya kijeshi mtandaoni?Jeshi letu sisi wananchi.
Authorised copy.For the record... kwa upande wa anga hatuko vizuri.. vifaa tulivyo navyo ni vya zaman sana. J-7 ni chinese copy of MIG-21. Walichobadilisha ni muundo wa mbawa na engine.
Kiujumla.. lazima nchi iwekeze.. kwenye jeshi la anga ili liwe la strong.
AminaMay The Supreme Almighty Creator of The Universe bless you Mama yangu Tanzania nchi yangu milele yote...katika jina la Yahushua ha Mashaick
Mbona yako mtandaoni zamani sana ...kuna mtu kaweka link ya wikipedia hapa.Sasa wewe nani kakupa mamlaka ya kuweka mambo ya kijeshi mtandaoni?
Sawa mkuu ,niwekee link ya maghala yale ya tabora nione piaMbona yako mtandaoni zamani sana ...kuna mtu kaweka link ya wikipedia hapa.
Ndio nakwambia u unakula bangi mbaya.Njoo karatu upewe kitu cha ute....Sorry... Nilikua busy kimtindo.
Kwanza nikubali kuwa mimi ni mtumiaji mzuri wa mmea pendwa(bangi)...
Pili ume prove hujui lolote kuhusu jeshi... Baada ya kusema kamandi ya anga hawavai bakabaka.
Hivi ndio vifaa vyetu na sio hivyo vya kugoogle...
Hughes/MD 500
![]()
DHL-5 Buffalo
![]()
Shaanxi Y-8
![]()
![]()
Short SD3-30
![]()
Hizo ni baadhi... Usilete ujuaji wa kijinga kijana.
Mkuu...[emoji38][emoji38][emoji38] hii kali duuh eti jeshi la anga hawavai bakabaka afu mkuu utakuta umeongea kwa sauti kweli hata unachosema haukijui
Kumbe wewe siyo RAIA! Manina, Sasa unatafuta kwenye jeshi letu?[emoji1]Siri gani kwa mfano?
Vifaa tuna nunua china na india unasema siri?
Siri labda kwa ninyi raia
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kuna moja imekatwa mkia na kupakiwa kwenye uwanja wa ndege mmoja nchini nahisi ni F 35
Ulisema picha za internet hazifai na wewe ukaleta hizo hizo.Sawa uambiwe onyesha VX V8 wewe ukaonyesha nyuepe mimi nikaonyesha nyekundu ukasema sio VX V8.Ndio nini sasa mkuu?Mkuu...
Tatizo unataka ushindani na ugomvi kitu ambacho Mimi sikihitaji...
Tupo hapa kuelimishana so take it easy boy...
Hakuna mahali nimesema Mimi ni soldier... But both of my parents are soldiers.
Picha nilizokuwekea sijazipiga mimi Ila nilikua nazo kwenye simu.
Nilichotaka kumwambia ni kuwa uwe unaweka picha halisi ili tupate picha halisi ya jeshi letu.
Hizo picha nilizoweka mimi zinaonesha picha halisi ya vifaa vyetu.
Tuache kujibu kwa jazba man... Tujikite kwenye kuelimishana.
Thread nzima umeona hapo tu?We unaongelea paratroopers mimi nawaongelea warusha ndege wenyewe.[emoji38][emoji38][emoji38] hii kali duuh eti jeshi la anga hawavai bakabaka afu mkuu utakuta umeongea kwa sauti kweli hata unachosema haukijui
Raia anayoongelea yeye ni civilian sio citezen.Kumbe wewe siyo RAIA! Manina, Sasa unatafuta kwenye jeshi letu?[emoji1]
Na wala sijasema waje hapa.unavyoona hiyo ni picha ya nje tu.bukoba boy sidhani kama mtu anayejua firepower na hardwares za TPDF anaweza kuja kuandika humu hata siku moja. Hao jamaa wana security clearance ya juu sana na wanakuwa chini ya uangalizi mkali sana masaa 24....
asante kwa kuanzisha thread....
Tuwekee attacking fightersSorry... Nilikua busy kimtindo.
Kwanza nikubali kuwa mimi ni mtumiaji mzuri wa mmea pendwa(bangi)...
Pili ume prove hujui lolote kuhusu jeshi... Baada ya kusema kamandi ya anga hawavai bakabaka.
Hivi ndio vifaa vyetu na sio hivyo vya kugoogle...
Hughes/MD 500
![]()
DHL-5 Buffalo
![]()
Shaanxi Y-8
![]()
![]()
Short SD3-30
![]()
Hizo ni baadhi... Usilete ujuaji wa kijinga kijana.