Jeshi Letu La Wananchi kamandi ya Anga

Na yule msemaji aliepewa uongozi chama tawala?
Na yule general mstaafu aliyewapigia debe chadema?Linatumika sema kijanja kama walivuopiga mkwara kabla ya uchaguzi 2010.

ilà bora wao hichi kikundi cha police kinatia aibu kabisa wameshakuwa wana siasa
 
Air force linanunua nini india?
Siri hata kwa wewe soldier.inakua si siri kwa maofisa wa juu.
Mkuu hizi Trucks za Ashok zinatengenezwa Tz?

Do we even have factories for assembling hizo ndege?

Naamini katika hili:
Wale wenye technology ya ku-innovate na kutengeneza kitu tuu ndo wenye siri...

Huwezi kuwa unanunua vifaa vya kijeshi ukasema vifaa vyako vina usiri...! Never!
 
Kama ilivyo ada kwa majeshi ya nchi kua na kitengo cha Anga,Jeshi letu pia sisi wananchi wa Tanzania tunayo kamandi yetu inaitwa Air Wing.Nembo yake ni hii hapa.

180px-Roundel_of_the_Tanzanian_Air_Force.svg.png

Sare zao ni hizi hapa
120px-Tanzania_Airforce_General_Ceremonial_uniform.png

Huyu ni Afisa wa cheo cha juu

Na huyu ni mwananga wa kawaida
120px-Tanzania_Airforce_Officer_casual_uniform.png



Kamandi ilianzishwa mwaka 1964 na imehusika kikamilifu katika vita vya Kagera.Kwa sasa Kiongozi wake ni Brig Gen Ingram(?)
Makao makuu yake yakiwa ni Ukonga, pia zipo base nyingine mbili Morogoro Ngerengere na Mwanza.

220px-2010-09-14_13-00-35_Tanzania_-_Ihale.jpg

Hapa ni base yetu ya Mwanza.

Moja ya zile zinazotumika sana kwenye vita ni Chengdu J-7. Hizi zipo 12.
300px-Chengdu_F-7_Pakistani_Air_Force_%28cropped%29.jpg

Mara ya kwanza kufanya kazi ilikua 1966.
Nyingine tena mashine za Urusi MiG 21
300px-HRZ_MiG_21.jpg

Hii hapa ni kwa ajili ya mazoezi wanayofanya ya mwaka 1956. Hizi zipo 9.
300px-Shenyang_J-5.jpg


Pia zipo ndege kwa ajili ya kusafirishia airmen wetu pamoja na mizigo yao.Ndege za aina hii zipo 9.
300px-Myanmar_Air_Force_Shaanxi_Y-8_MRD.jpg

300px-YJAV5.JPG

Helikopta nazo tunazo eti
300px-LAPD_Bell_206_Jetranger.jpg



Jamani tukuze uchumi wetu sababu nguvu za uchumi zinaendana moja kwa moja na nguvu za kijeshi kwani tukiwa na mapesa kibao twaweza kununua ndege mpya na za kisasa kabisa kama nchi nyingine zinavofanya na hivyo kua katika upande salama wakati wa vita.


Kama hii hapa MiG 35
300px-Mikoyan-Gurevich_MiG-35_MAKS%272007_Pichugin.jpg

f-16
is

is

is


Au siku moja tutakua na kama hii tuweze kupita kwenye rada ya maadui zetu bila kuonekana.
is
Nahisi kama huu Uzi utafutwa, subiri niyasevu kabisa haya madini
 
Mkuu hizi Trucks za Ashok zinatengenezwa Tz?

Do we even have factories for assembling hizo ndege?

Naamini katika hili:
Wale wenye technology ya ku-innovate na kutengeneza kitu tuu ndo wenye siri...

Huwezi kuwa unanunua vifaa vya kijeshi ukasema vifaa vyako vina usiri...! Never!
U have a point.....
Ila kusema air force nilimaanisha anga exclusively yaani vifaa vya angani pekee....Kuhusu trucks na buses najua ni India zilikuwepo TATA nyingi zimestaafu.
Nafikiri hatujakua serious sana kuwekeza katika silaha sisi Waswahili tunaona kama uchuro kununua au kutengeneza silaha kwa sababu a amani na utulivu tulionao.Ila uwekezaji katika silaha ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom