bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,956
Kama ilivyo ada kwa majeshi ya nchi kua na kitengo cha Anga,Jeshi letu pia sisi wananchi wa Tanzania tunayo kamandi yetu inaitwa Air Wing.Nembo yake ni hii hapa.
Sare zao ni hizi hapa
Huyu ni Afisa wa cheo cha juu
Na huyu ni mwananga wa kawaida
Kamandi ilianzishwa mwaka 1964 na imehusika kikamilifu katika vita vya Kagera.Kwa sasa Kiongozi wake ni Brig Gen Ingram(?)
Makao makuu yake yakiwa ni Ukonga, pia zipo base nyingine mbili Morogoro Ngerengere na Mwanza.
Hapa ni base yetu ya Mwanza.
Moja ya zile zinazotumika sana kwenye vita ni Chengdu J-7. Hizi zipo 12.
Mara ya kwanza kufanya kazi ilikua 1966.
Nyingine tena mashine za Urusi MiG 21
Hii hapa ni kwa ajili ya mazoezi wanayofanya ya mwaka 1956. Hizi zipo 9.
Pia zipo ndege kwa ajili ya kusafirishia airmen wetu pamoja na mizigo yao.Ndege za aina hii zipo 9.
Helikopta nazo tunazo eti
Jamani tukuze uchumi wetu sababu nguvu za uchumi zinaendana moja kwa moja na nguvu za kijeshi kwani tukiwa na mapesa kibao twaweza kununua ndege mpya na za kisasa kabisa kama nchi nyingine zinavofanya na hivyo kua katika upande salama wakati wa vita.
Kama hii hapa MiG 35
f-16
Au siku moja tutakua na kama hii tuweze kupita kwenye rada ya maadui zetu bila kuonekana.

Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania
[quote uid=225480 name="Clement Vincent" post=19836650]Sorry... Nilikua busy kimtindo.

Kwanza nikubali kuwa mimi ni mtumiaji mzuri wa mmea pendwa(bangi)...

Pili ume prove hujui lolote kuhusu jeshi... Baada ya kusema kamandi ya anga hawavai bakabaka.

Hivi ndio vifaa vyetu na sio hivyo vya kugoogle...

Hughes/MD 500

DHL-5 Buffalo

Shaanxi Y-8

Short SD3-30

Hizo ni baadhi... Usilete ujuaji wa kijinga kijana.[/QUOTE]
Ndio nakwambia u unakula bangi mbaya.Njoo karatu upewe kitu cha ute....

Kwenye mada sasa,ulichofanya na wewe ni kugoogle tu kama mimi huna tofauti.umegoogle tu huna lolote.Kugoogle raia imekua nongwa wakati mwenyewe afisa mteule daraja la pili umegoogle.hahahah

Chinese Y-8 Aircraft Exported to Tanzania

Lete ulizopiga wewe unajifanya soldier.