Jeshi Letu La Wananchi kamandi ya Anga

Jeshi Letu La Wananchi kamandi ya Anga

U have a point.....
Ila kusema air force nilimaanisha anga exclusively yaani vifaa vya angani pekee....Kuhusu trucks na buses najua ni India zilikuwepo TATA nyingi zimestaafu.
Nafikiri hatujakua serious sana kuwekeza katika silaha sisi Waswahili tunaona kama uchuro kununua au kutengeneza silaha kwa sababu a amani na utulivu tulionao.Ila uwekezaji katika silaha ni muhimu sana.
Okey!

Tumefunga mjadala..!
 
For the record... kwa upande wa anga hatuko vizuri.. vifaa tulivyo navyo ni vya zaman sana. J-7 ni chinese copy of MIG-21. Walichobadilisha ni muundo wa mbawa na engine.
Kiujumla.. lazima nchi iwekeze.. kwenye jeshi la anga ili liwe la strong.
 
May The Supreme Almighty Creator of The Universe bless you Mama yangu Tanzania nchi yangu milele yote...katika jina la Yahushua ha Mashaick
 
helicopter uliyoweka imeandikwa LAPD jeshi la polisi los angeles hii imefanya uzi wote kuwa null and void,afu mkuu kasema mambo ya jeshi sio ya kuhoji wala kujadili in public
Hapo ndipo alipokoroga mambo....
LAPD ni Los Angeles Police Department... Na hizo ndio helicopter zao.
Hii imedhihirisha picha zote ni za kudownload google... Then kwa akili yake ndogo anadai model ni ileile.... LAPD ni model?
 
Wajinga kama nyinyi ndio mnenipa ban juzi.Kwahyo umeona hyo LAPD tu?unaleta u much know uonekane unajua vitu vya marekani?
Mbona hakuna hata ndege moja hapo imeandikwa Tanzania air force hujasema?Kwenye hizo ndege za transport umeona reg ya Tanzania?au hata hujui registration ya tanzania lakini unajua LAPD?Hiyo helikopta ni bell 206 model ambayo airwing wanayo sasa unashangaa nini?
Nimetoa google ndio ulitaka nitoe kwa mama yako?Kwani kudownload internet picha ni dhambi?Na wala sijaficha kwa kusema picha nimepiga mimi.Nimekusanya nikaleta.

Weka wewe zako ambazo sio za google.
 
Wajinga kama nyinyi ndio mnenipa ban juzi.Kwahyo umeona hyo LAPD tu?unaleta u much know uonekane unajua vitu vya marekani?
Mbona hakuna hata ndege moja hapo imeandikwa Tanzania air force hujasema?Hiyo helikopta ni bell 908 model ambayo airwing wanayo sasa unashangaa nini?
Nimetoa google ndio ulitaka nitoe kwa mama yako?Kwani kudownload internet picha ni dhambi?

Weka wewe zako ambazo sio za google.
Mbona povu jingi hivo???...
Na ukweli sio tu ninaleta umuch know... Bali najua na nina uhakika na ninacho kisema.
Unapoanzisha uzi kama huu,ukitaka kutuhabarisha juu ya Jwtz kamandi ya anga... Jaribu kutafuta picha za Jwtz kamandi ya anga ambazo zipo nyingi tu...
Hivi unaletaje topic ya umasikini Tanzania ukituwekea picha ya umasikini wa China???... Kisa umeongelea umasikini???

Nalijua jeshi zaidi ya unavyofikiri na baadhi ya bakabaka wamelivaa gwanda kupitia kwangu.
Usituletee topic za kijeshi ukiwa huna information za uhakika...
Talk is cheap... Kutoa kwako maneno ya ovyo kumenifanya nijue nabishana na mtu wa aina gani.
 
Povu ndio kitu gani?
Wewe hujui lolote lile kaa kimya.mabaka baka jeshi la anga wanavaa ya nini?ahujui lolote wewe kazi kukosoa tu. Hiyo helikopta hata kama imeandikwa LAPD jeshi la anga wanayo na wanaitumia kama hiyo.sasa kama ulitaka ileile yenyewe kaitafute wewe.au unataka ukariri?
Kama F-35 inayotumika marekani na F-35 inayotumika Israel ni tofauti sababu zimeandikwa tofauti unavuta bangi mbaya ya abajalo.

Na huo mfano wako wa umasikini umetoa hauendani na hii mada tafuta mwingine.
 
Kamandi ilianzishwa mwaka 1964 na imehusika kikamilifu katika vita vya Kagera.Kwa sasa Kiongozi wake ni Brig Gen Ingram(?)
Makao makuu yake yakiwa ni Ukonga, pia zipo base nyingine mbili Morogoro Ngerengere na Mwanza.

Naona umeamua kumwaga siri za jeshi nje nje.Nadhani wahusika watakutafuta
 
Naona umeamua kumwaga siri za jeshi nje nje.Nadhani wahusika watakutafuta
Hakuna siri hapo hata punje.mambo ya kawaida sana haya.labda ningesema ndege imeanguka sehemu fulani na wao hawajatangaza.
 
Hiv wale waliotumbukia baharini wakifanya mazoezi zikaokotwa boot tu walipatikana?
 
Sijajua kama jeshi linaruhusu umwage mambo yake hapa ila hapo mwanza hivyo vifaa ni vyenyewe kabisa.
 
Back
Top Bottom